Recent content by KISHANDU

  1. KISHANDU

    Unywaji wa pombe una athari mbaya kwenye ubongo, utafiti wabaini

    Mh!! Ebu kuwa muungwana kidogo, acha kufananisha pombe/ Bia/UGIMBI na vitu vya kijinga kama Corona
  2. KISHANDU

    Unywaji wa pombe una athari mbaya kwenye ubongo, utafiti wabaini

    Utafiti umefanywa na wazungu, waliofanyiwa utafiti ni wazungu, wanaoathilika na pombe ni wazungu, Waafrika haituuau hata kidogo, wacha tuendelee kula UGIMBI.... .... Yaani naandika huku nakunywa Serengeti baridiiiii
  3. KISHANDU

    Adult Talks: Kwa kupitia ndoa yako. Unawashauri vipi ambao hawajaoa?

    Ushauri mdogo:. 1.Kila mtu asimame kwenye nafasi yake 2. Usirusu ushauri mwingiii eidha kutoka kwao au kwenu, fanyeni kile mlichokunalina na kuona ni sahihi
  4. KISHANDU

    Ulifanyaje kuendelea kumla x gilrsfriend wako mlio achana kwa ugomvi mkubwa

    Mi X wangu anafanya biashara, sasa siku moja nikampigia kumpa dili la pesa kupitia biashara yake, basi kuanzia hapo tukarudisha ukaribu na kuwa marafiki wa kushauriana hili na lile, na nikiomba mgegedo napewa kama kawaida
  5. KISHANDU

    Kongamano kubwa la wachawi kufanyika mwaka huu Tanzania

    Nathibitisha ushiriki wangu, naomba mwongozo namna ya kufika kwenye Kongamano plz
  6. KISHANDU

    Lodge au hotel gani ni nzuri na ina usalama Lindi mjini?

    Inaitwa Veronica Dadame Adela, ipo mita chache kutoka Bus stand
  7. KISHANDU

    Mtwara: Taharuki Tandahimba baada ya madai ya mtoto mchanga kutabiri mvua ya ajabu; wakesha wakinywa uji wa Muhogo

    Mimi nipo huku Tandaimba kikazi, hata hapa kwenye guest house tuliyofikia walituamsha wenyeji, eti na sisi tunywe uji tujikinge na balaa hilo
  8. KISHANDU

    Tofauti ya NGO na Foundation ni nini?

    Zinasajiriwa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na watoto, kupitia idara ya Asasi zisizo za kiserikali, ingia kwenye tovuti yao wameweka kila kitu, kianzia utaratibu, fomu, mahitaji na gharama zote
  9. KISHANDU

    Vinauzwa, sofa coach, fridge na kapeti

    Nataka ilo sofa, nakupataje
  10. KISHANDU

    Naomba kufundishwa namna ya Kutongoza Mwanamke

    Isikuumize kichwa saana, kwanza kwa kipindi hiki tunachoelekea uchumi wa kati, wala hawaitaji ujuzi wa kuongea, wanahitaji zaidi huduma na uhakika wa kuishi mjini, hivyo ongeza juhudi kwenye kutafuta pesa na kila kitu kitakuwa poa Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
  11. KISHANDU

    Wanawake hebu tujitahidi sasa kujishusha kwa wanaume wetu Ili kunusuru hali

    Ntakuletea mchumba angu ukae nae kama wiki moja hivi, najua akitoka hapo atakuwa mke
  12. KISHANDU

    Bangi haibagui mtu

    Bangi aiharibu akili ya mtu, watu wanarogana wanasingizia bangi, sio vizuri, acheni kufananisha bangi na vitu vya kijingajinga
  13. KISHANDU

    TTCL ni Jipu, city centre hakuna mtandao wiki nzima!

    Mimi ni mtumiaji mzuri wa huduma ya internet ya TTCL, ila wanakera sana, vocha zao hazipatikani madukani, wanatuomba tununue salio kupitia maxmalipo/ selcom, ila unakatwa shilingi 50 kwenye salio uliloongeza kama ada ya huduma
  14. KISHANDU

    Vijana kunyanyua mavyuma ili uwavutie wanawake ni ushamba, Tafuteni hela!

    Kila kitu kina umri, umri wao ukifika wataacha wenyewe
Back
Top Bottom