Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,137
Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wadogo "wadogo zangu" kujazana sehemu za kunyanyua vyuma ili wawe na vifua za kuwavutia warembo, huu nauita ni ushamba kwa sababu mwanamke mwenye akili hatafuti mume aliyejazia kifua bali anatafuta "aliyejazia kichwani" successful man. Hata kama sio successful man lakini anaangalia ana mtazamo gani katika maisha.
Sikatazi watu kunyanyua vyuma ila usinyanyue vyuma ili uwe na mvuto kwa wanawake huo ni ushamba. Tafuta hela na fanya mazoezi kwa ajili ya kuweka mwili sawa. Lasivyo mtaishia kutumiwa na majimama tu.
Sikatazi watu kunyanyua vyuma ila usinyanyue vyuma ili uwe na mvuto kwa wanawake huo ni ushamba. Tafuta hela na fanya mazoezi kwa ajili ya kuweka mwili sawa. Lasivyo mtaishia kutumiwa na majimama tu.