Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,508
- 108,887
Kama heading inavyojieleza naomba kuelimishwa tofauti ya NGO na Foundation na zinasajiliwa wapi? Na je mawakili wanaandaa Memart zake? Gharama ya chini inaanzia bei gani? Na kama kuna anayejuwa gharama za kusajili anijuze pia.