Vinauzwa, sofa coach, fridge na kapeti

Vinauzwa, sofa coach, fridge na kapeti

Jaman nieleweke bei ya Fridge ni laki tatu huyo aliyeandika laki moja ni mtu tu aliandika sababu mwanzon sikuweka bei hivyo vyote nimeshaweka bei
Kwa hiyo pale juu Unauza Friji tu??
 
Ngoja nikusaidie kuweka Bei,

FRIDGE LAKI TATU
SOFA COACH LAKI TANO
KAPETI ELFU HAMSINI.
YUPO TABATA KIMANGA MAWASILIANO 0768368560 OR 0656119263.
KARIBUNI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom