Recent content by kisekekwetu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Car4Sale BMW Tsh.Mil 18.5

    10m
  2. K

    JamiiForums Tanzania Yule anayethubutu kusema Lowassa Fisadi

    Umeongea kizembe kweli! Umetumwa!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwa kinachoendelea Dar es Salaam na Zanzibar yanasikitisha!

    Fanyeni kazi usitegemee mtu kukuletea maendeleo.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nakupenda sana: Pumzika kwa amani Mama yangu

    Pole sana mkuu,sote tunapita njia yetu ni hiyo hiyo
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi - Lema

    Ni ujinga kuongea bila ushaidi,hata kama tunahitaji mabadiliko si kwa utaratibu huu
  6. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

    Ni ujinga kila tukio kulihusisha na siasa,nani anayajua maisha yake nyuma ya pazia. Tusubili tuwe na uhakika na chanzo cha kifo chake. RIP KAMANDA wewe mbele sisi nyuma.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Billioni tatu kutengeneza mashine mbili au?

    Waswahili bwana......
  8. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli, Pesa hizi zinatoka wapi?

    Ulitaka watu waendelee kusafiri,tufike sehemu tusiwe wanafiki kwa kupinga kila kitu. Uchaguzi umeisha tuwe na mawazo mapana kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wale watumiaji wa "kondomu"

    Nimeipenda hiyo @ jipu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Faraja Nyalandu ana miaka 30?

    Sasa umri wake unatusaidia nini sisi,tukiujua utatuondolea ugumu wa maisha!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nina Tshs. 300,000, Naweza kuifanyia nini ili mpaka July niwe nimepata ada ya Tshs. 1,114,400?

    Wa TZ bwana kijana mwenzetu anaomba msaada wa Mawazo tu,comment zinazotelewa hazifanani kabisa na utu. Kama huna msaada unaonaje ukikaa kimya ukawaacha wenye kusaidia wakatoa ushauri. Kumbuka leo kwake kesho utakuwa wewe. Mkuu usikate tamaa na pole kwa yaliyokupata,nimechukua contact zako...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mjengo wa Ajabu anaomiliki Mh. Sitta Huu hapa

    Ndo watanzania hawa kila kukicha kulalamika tu.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nauza iPhone E 6 (16Gb) mpya

    Laki 8 ipo tutafutane
  14. K

    JamiiForums Tanzania Utatuzi wa tatizo la ulipaji wa bili kubwa ya umeme licha ya matumizi kuwa madogo

    Tunakushukuru mkuu kwa somo lako
Back
Top Bottom