New Samsung Galaxy Model SM-E500F/DS, box sealed coming with power Bank

reandle

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,168
8,142
UPDATE:
The Product is No Longer Available. Thank you all who showed interest

Wadau,

Nauza simu mpya kabisa, ipo kwenye box na box lipo sealed. Hii simu ni New Samsung Brand ambayo imeingia sokoni February 2015. Hii simu nadhani haijakuwa officially launched hapa TZ. Zifuatazo, ni specifications zake:


  • Network: 4G LTE Vategory 4 (on the Box), 3G, Wi-Fi, Bluetooth 4.0, Micro-USB 2.0
  • CPU: 1.2 GHz Quad Core Processor
  • Display: 126 mm (5") HD Super AMOLED
  • Camera: 8.0 MP AF Camera + 5.0 MP Front Camera
  • Internal Memory: 16 GB, 1.5 GB RAM
  • MicroSD: Up to 64GB
  • Operating System (OS): Android OS, v4.4.4 (KitKat)
  • SIM: Dual.
  • Battery: 2400mAh
  • Color: White.

    Price Amazon.com: $285 (Exchange Rate/Buying Price TZS 2020) ≈ TShs. 570,000+
http://www.amazon.com/Samsung-Galaxy-E5-SM-E500F-Unlocked/dp/B00VMQWYUU

MY PRICE: TShs. 600,000/-


Contacts: PM can work better because hapa nilipo ni ngumu kuongea kwa simu.

NOTE 1: Simu imekuja na Power Bank with Capacity: 2600mAh

NOTE 2: Picha nimechukua kwenye mtandao kwa simu hizo hizo, SM-E500F/DS. Nimelazimika kuchukua picha kwenye mtandao kwa kuwa box lipo sealed na sikutaka kulifungua.

PHOTOS:




UPDATE:
Kuna watu wawili wameuliza kuhusu Power Bank. In short, hiyo Power Bank imekuja na simu lakini sio kubwa sana. Kama specifications zake zinavyoonesha hapo juu, Capacity yake ni 2600mAh. So long as battery capacity ni 2400mAh, then kimahesabu, uwezo wa hiyo power bank ku-retain charge kwenye simu ni 2600*0.8*0.8/2400=0.69=70%. Hii maana yake ni nini? Ikiwa simu yako imeisha chaji na unataka kui-charge kwa kutumia Power Bank iliyokuja nayo, basi chaji itajaa up to 70% of the total charging kama ungetumia kw
ALETAenye umeme! Kutokana na hilo, utaona kwamba it's just one time recharging power bank.

When we say one time recharge power bank si kwamba ukishaitumia mara moja ndo basi tena, la hasha! Ukishaitumia, unatakiwa na yenyewe baadae ui-chaji ili uweze kuitumia tena in case upo out of power reach.
 

Attachments

  • Samsung SM-E500F 2.jpg
    Samsung SM-E500F 2.jpg
    8.8 KB · Views: 235
  • Samsung SM-E500F 3.jpg
    Samsung SM-E500F 3.jpg
    5.5 KB · Views: 216
  • Amazon.jpg
    Amazon.jpg
    77.5 KB · Views: 212
Pamoja sana sasa mgomo huu wa magari nikupe 550,000/= njoo PM
Sasa mkuu Jerhy mgomo wa magari unahusiana vipi na bei ya simu? Mi nadhani ilistahili ufanye 600K+ kwa kuwa gharama za kuisafirisha zilikuwa juu manake nimeitia mikononi jana!!!!
 
Last edited by a moderator:
400,000 cash
Ongeza 200K hizo mkuu... hapo una uhakika wa kuwa na kitu 100% genuine manake hata Mchina bado hajaanza kufanya fujo zake kwenye hiyo model!!! Just imagine, nimeongoza ONLY 30K with regard to Amazon Price!!!
 
Kuna watu wawili wameuliza kuhusu Power Bank. In short, hiyo Power Bank imekuja na simu lakini sio kubwa sana. Kama specifications zake zinavyoonesha hapo juu, Capacity yake ni 2600mAh. So long as battery capacity ni 2400mAh, then kimahesabu, uwezo wa hiyo power bank ku-retain charge kwenye simu ni 2600*0.8*0.8/2400=0.69=70%. Hii maana yake ni nini? Ikiwa simu yako imeisha chaji na unataka kui-charge kwa kutumia Power Bank iliyokuja nayo, basi chaji itajaa up to 70% of the total charging kama ungetumia kwenye umeme! Kutokana na hilo, utaona kwamba it's just one time recharging power bank.

When we say one time recharge power bank si kwamba ukishaitumia mara moja ndo basi tena, la hasha! Ukishaitumia, unatakiwa na yenyewe baadae ui-chaji ili uweze kuitumia tena in case upo out of power reach.
 
Back
Top Bottom