Recent content by kisanga jr

  1. K

    Tafakuri chokonozi: Ni dengu, dengi, au ni propaganda?!

    Leo mmekaa Dr akawapa ujinga kuhusu Dengue na kuja kuandika bila tafakuri,Sasa mnaibika na kujishushia hadhi zenu kisa kutumika.
  2. K

    Zitto Kabwe ang'ara Kimataifa

    hahaha BAVICHA wanawivu wa kike.
  3. K

    Mabere Marando:Jambo hili ni zito,Werema sharti asikurupuke

    Mabere marando ni kilaza kama vilaza wengine kwa mantiki hii kama kweli anuhakika na huo mtambo kwanini asitaje mahali ulipo na huyo mtoto wa kigogo anayedai anamiliki? atuletee vithibitisho kwa ameamua kuweka mambo wazi.pili hii inatupa picha kamili ya kwamba swala hili CDM wamingia ubaridi...
  4. K

    America's Highest Paying Jobs 2012; Our Government dictates our salaries too Much GVT powers

    America's Highest Paying Jobs 2012By Morgan Giordano | CNBC – Mon, Jul 2, 2012 2:37 PM EDT salary is one of the most compelling factors for individuals deciding on a career path, a degree or even where to live, since some parts of the U.S. pay higher wages, on average, for the same position...
  5. K

    Makamu M/kiti BAVICHA taifa ni pandikizi au kapewa pesa haramu?

    Makamu mwenyekiti hajakosea kitu bali amejaribu kuona hata kama watasawazisha hilo swala ndani ya vikao itakua ni kwa upande mmoja kwani kauli imetolewa kwa umma na umma itabaki na kauli ya Heche kama kauli ya BAVICHA so ili kutopotosha umma na kuweka mambo sawa lazima alitakiwa kupinga au...
  6. K

    Joshua Nassari MB.

    Ushabiki na mapenzi yanayoleta upofu ni mufilisi kwa Great thinker, kama kweli hajakosea kwa nyie mnaotoa povu kumtetea Nassar kwanini Mbowe alisimama na kurekebisha kauli ya nassar? kama Nasar hakukosea inamaa ni Mbowe ni Policcm .udogo upi alionao huyo Nassar yani kisa anaitwa dogo janja ndo...
  7. K

    Joshua Nassari MB.

    Molemo = akili na mawazo ya kitoto great thinker anatia shaka huyu kijana. sory for u .
  8. K

    Kwa dalili hizi, Mnyika kapoteza jimbo la Ubungo

    tusubiri tuone ndg yanguhaki mnyika kama nani ashinikize laptop zake zitumike kwenye kuhesababu kura wakati utata mkubwa pia kwenye kesi hii ni idadi ya kura 14,000 zimetoka wapi?
  9. K

    Nanyaro: James Ole Milya sahau kabisa uongozi ndani ya Chadema

    unajua kikao alichokaaa Milya na Mbowe agenda ilikua nini? kama haujui kaa kimya ukiona nanyaro analia anayo sababu na ni mwoga wa challenge.
  10. K

    Nanyaro: James Ole Milya sahau kabisa uongozi ndani ya Chadema

    ]Ritz, we bado unalia na CHADEMA tu. Huna habari nyingine za kupost? acha mambo yako kwani hii si habari???????? au toa wewe habari za kupost JF coz wengine hatuna za kupost.
  11. K

    Tugome au Tuandamane Ijumaa tarehe 28/04/2012. It's worth it..!

    angalia kalenda ijumaa tarehe 27.
  12. K

    Tugome au Tuandamane Ijumaa tarehe 28/04/2012. It's worth it..!

    molemo unamatatizo kweli watu wanajadili swala la ukombozi wa nchi ya viongozi mafisadi wewe unaleta habari ya ushirika wa cuf na ccm be serious and kama unaona hauna cha kuchangia tulia bwana. au kisa ni hoja inayomhusu lipumba????? molemo a great thinker, sory for u.
  13. K

    Tundu Lissu ana deni kubwa jimboni, achukue tahadhari!

    too low men, kama aliahidi atimize kwani hakujua kunafitina,kwanini kila kitu tunatumia ccm as reference?
  14. K

    Augustino Mrema: Behind the Scene

    nyabhingi tatizo lako mtu kama wewe unaona mabaya ya mtu tu.altho wewe unamuona bogus bt kunamambo mengi katika utendaji wa viongozi wetu wa sasa wameshidwa kuyasimamia ila yeye akiwa madarakani na waziri aliweza kutetea mali za watanzania dhidi ya viongoz mafisadi miaka hiyo. yapo mengi sana...
Back
Top Bottom