Kuna watu wanaposoma uzi huu roho zinawauma kutoka na chuki zao binafsi, hawapendi kuona binadam mwenzao anafanikiwa, wanajipuza kama vile hawaujui ukweli kuwa Zitto ni international level. Wanahangaika kumchafua lakini bado hachafuki na nyota inazidi kung'aa. Wengine leo wanashindwa hata kuchangia uzi huu kwasababu wameshiriki sana kumchafua Zitto, sasa wanaona haya kumpongeza kwa mafanikio anayo pata.
Tuwe na wivu wa maendeleo jamani ndo tutafanikiwa. Hongera sana ZITTO wewe ndio mfano wa kuigwa na vijana wote Tanzania na Afrika kwa ujumla.