Kwa dalili hizi, Mnyika kapoteza jimbo la Ubungo

Status
Not open for further replies.
Kila ninapopita ktk Ofisi za CCM Ubungo siku 2 hizi, nahisi kuna jambo kubwa linaweza kutokea Jimboni hapo.
Furaha na maandalizi ya hapa na pale yanaandaliwa.
Ofisi zinaonekana kama zinasafishwa safishwa, matawi vile kama yanaanza kufufuliwa, hamasa za chama zinaanza kuonekana ambapo kwa kipindi kirefu kiltoweka.
kwa haraka haraka unaweza ukahisi kuna harakati kubwa za kisiasa zinaweza kutokea kipindi kifupi baadae

JEE HICHI NDICHO KITACHMUANGUSHA MNYIKA KTK KESI YAKE:
kukiri kwa Mnyika Mahakamani tofauti ya kura zaidi ya 14,000 inayoonekana katika fomu iliwasilishwa mahamani
Kutumika komputa yake kuhesabiwa kura

kukerwa kwa Jaji Msuya jinsi Mnyikai alivyokuwa akijibu maswali mbalimbali ya Wakili wa mlalamikaji, Issa Maige,

unajua sheria? habari za asubuhi? inaonesha ndiyo waamka weye
 
Kunguru Mweusi, hapo mimi sioni uhusiano baina ya kusafishwa ofisi za chama na hukumu ya kesi mahakamani. Sana sana ningeona mantiki kama kuna zaidi ya hicho ulichokiona, mfano hata tetesi tu toka kwa hao wafanya usafi. Otherwise, tuache hukumu ichukue nafasi yake.
 
Mkuu msingi wa kesi ya Ubungo ni kura 14,000. ambazo hata akipewa zote huyo wa CCM hawezi kumshinda John na kumbuka kuwa hizi kura ni lazima kufuata ratio maalum kwa wagombea wote

Si mtaalam wa sheria naomba ufafanuzi zaidi juu ya hili
Bila kuwa mtaalam. Ukiiba au jupoteza kura moja na kukawa na ushahidi wa kuridhisha, haijali hata kama ulishinda kwa kura milioni tisini na saba!!!
 
Hivi Kiravu aliitwa kweli mahakamani? na Mahanga reps wake hawakuwepo wakati wa kufanya majumuisho kwa computers za mheshimiwa Mnyika? kama hawakuridhika na majumuisho hayo nadhani walitakiwa kusimamisha zoezi hilo mara moja.
hivi kweli NEC walikosa vitendea kazi kiasi hicho! tumekwisha wa TZ

Hapa JF kweli wengi tuko busy au tunapita tu. hapo ktk thread yangu nimechemsha sana lkn hakuna ameona.
tatizo kesi za uchaguzi zimekuwa nyingi mno, na wote mnategemea matokeo mazuri kwa upande wenu!
concentrate guys!!
 
Hukumu ya kesi ya Mnyika iko mikononi mwa ikulu, kama Ikulu ikiagiza matokeo kutenguliwa na itakuwa hivyo, kwahiyo kwa mimi sioni cha kujadili hapa.
 
tusubiri tuone ndg yanguhaki mnyika kama nani ashinikize laptop zake zitumike kwenye kuhesababu kura wakati utata mkubwa pia kwenye kesi hii ni idadi ya kura 14,000 zimetoka wapi?
 
CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Chama Imara kama Pua.
We kweli ndo mzee wa njaa na bado utazimia kwa njaa ngoja mtolewe kwenye madaraka ndo utakoma!!!!
Nahisi Kichefuchefu kwa kua unashangilia maiti mtarajiwa!!!!!!!!!!
 
we kweli ndo mzee wa njaa na bado utazimia kwa njaa ngoja mtolewe kwenye madaraka ndo utakoma!!!!
Nahisi kichefuchefu kwa kua unashangilia maiti mtarajiwa!!!!!!!!!!



hv wakuuu hiyo kesi ya mnyika ni tarhe ngapi tafadhaliiiii????
 
Ila kesi ya Ubungo haijakaa vizuri kabisa na hivi CCM wana hasira na Sumbawanga afu na Segerea sijui wanaweza kujifuta machozi Ubungo. Lakini uchaguzi mwingine Mnyika ndani labda wampige ban

kiukweli ni moja ya kesi ngumu sana kwa wapinga kura wa Jimbo la Ubungo ambapo kunaweza kuwa naoukweli wa hoja walizo tumia kufungua kesi hii..
lakini bila kuwa na ushabiki na uchama ndani yetu (mlalamikaji) angechuku sehemu ya busara aliyo nayo nakufuta kesi kama iliyokuwa kwa mh Mbatia dhidi ya Mh Halima kwani kijana na MH.JOHN MNYIKA amesaidia sana serekali katika mengi naya msingi kwa wananchi pia.na ninaweza sema nimchapakazi kiukweli.wange kaa mezani yaishe tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom