Recent content by kisale18

  1. kisale18

    JamiiForums Tanzania Kudaiwa maegesho yasiyo halali

    Sometimes napata bill alert ya maegesho kwa gari iliyo Kahama ambako hakuna utaratibu huu wa TARURA wa madai ya kielektroniki coz huku tunalipa cash mkononi tu
  2. kisale18

    JamiiForums Tanzania Pikipiki ya 110cc naweza kusafiri nayo umbali mrefu?

    Haya mambo yanawezekana sema inataka ujasiri na umakini tu, chuma hiyo (Sanya) nilitembea nayo Kutoka Mwanza-Shinyanga-Nzega(Tabora)-Singida-Dodoma-Iringa-Mbeya, (maskani moja hiyo) na baada ya Siku 4 nikasogea mpaka Tunduma kumpa hi mshkaji wangu pale boarder. Nilitoka Mwanza saa Tano asbh...
  3. kisale18

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani huwezi kufanya kwenye gari yako?

    Sori mkuu me wa MBY pia old forest ila nimemalizia primary Mbata na ticha mkuu Msomba, vipi ni hiyo huyo?
  4. kisale18

    JamiiForums Tanzania Kwa maswali haya sensa imefeli kabla haijafanyika!

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  5. kisale18

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bima ya Taifa ya Afya inaweza kufanya vipimo vya macho na kulipia miwani?

    Mie kwa bima ya NHIF nimeweza kupima macho na kupatiwa miwani bila malipo Agakhan Hosp Mwanza.
  6. kisale18

    JamiiForums Tanzania Je, ile robo ya mwaka katika siku 365 na robo huwa inaenda wapi?

    [emoji1666][emoji1666]
  7. kisale18

    JamiiForums Tanzania Have you eaten any of these foods before? See them for yourself

    And why of the most same type Not appetizing....
  8. kisale18

    JamiiForums Tanzania Je, nikipika majani ya bangi na kutumia kama mboga nitalewa au ni kosa?

    Mmh! Hapo kulewa kumo, Na je, vipi mmea ukiungwa kama majani ya chai.
  9. kisale18

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Share experiences kama umeshawahi kuuza au kununua Papuchi

    2003 kule nyuma ya Rozana, Buguruni ilikuwa 500 "Jero" Nga Nga Ngaaa moko..... [emoji86][emoji86][emoji86]
  10. kisale18

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ishitakiwe na jeshi la polisi kwa usumbufu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji121][emoji121][emoji121]
  11. kisale18

    JamiiForums Tanzania Hisabati iwe lazima kwa Wanasheria!

    Ndugu,, mimi nadhani katiba haichambuliwi namna hiyo in such a mathematical formulas zenu to get the right answer, huu ukakasi unahitaji KATIBA MPYA itakayoendana na wakati wa sasa
  12. kisale18

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumsomesha mke wako chuo

    Mimi nawashangaa hawa watu humu,kama mwanamke alibadilika akiwa mbinguni mbele za mungu na malaika na raha zote, Je hapa duniani? Duuu hii nayo...
  13. kisale18

    JamiiForums Tanzania Kwanini ELA (Fedha)Ilitengenezwa?Ilianzia nchi Gani?

    Emergence of money. Anatolian obsidian as a raw material for stone-age tools was distributed as early as 12,000 B.C., with organized trade occurring in the 9th millennium.(Cauvin;Chataigner 1998)[9] In Sardinia, one of the four main sites for sourcing the material deposits of obsidian within...
  14. kisale18

    JamiiForums Tanzania Ahadi za Mh. Lowassa

    Great thinking...
Back
Top Bottom