Nowadays Artificial intelligence-Tuwashauri vizuri vijana na watoto wasomee taaluma gani,not necessary carrying loads of subjects while you’ll never use them in life application .
Take it easy and positive brother.She won’t be the same after delivery.Huyo mjukuu atakayezaliwa anaweza kuja kumtoa kimaisha And it’s possible also akapata namna nyingine ya maisha na eliminates baada ya kujifungua
Wala Dar haijawapotezea muda,hapa mlikuja kusoma mlipofaulu mkarudi mkoani kupambana.Kama mlifikiri mikoani kuna maendeleo Kwa nn hamkufanikiwa kabla hamjaja Dar????
Yesu alisema Waacheni watoto wadogo waje kwangu msiwazuiye kwa maana ufalme wa Mungu ni wao,Swala la ubatizo wa mtoto na mwenendo wa wazazi au walezi kiimani halina uhusiano kwa Mungu-Tena bro Mungu anaangalia ndani ya mioyo yetu na aangalii hayo wanayoyaona mapadri na wachungaji kwa nje...
Ndugu wanajamvi
Napenda kuwasilisha hali ninayoiona hapa airport kwa kweli si nzuri,
Huduma Za matangazo si nzuri-Spika Za matangazo hazitoi Sauti,hata ndege ilichelewa au kutua huwezi kusikia vizuri,no
Buoy ni vichafu,hakuna vitendendea kazi,sabuni hakuna nk
Viti vya kupumzikia hakuna vya...
Mwambie akasome ustawi wa jamii ili ajue kulea Familia.Anaogopa changamoto Za maisha ndo maana anajificha shuleni kwamba aonekane anasoma-na hiyo ada ya Mahabharata wote kwa miaka 17 anasoma elimu gani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.