Nani HATAKI/HAWATAKI SERIKALI TATU ???

Nani HATAKI/HAWATAKI SERIKALI TATU ???

kama bunge litakuwa huru, kuwakilisha mawazo ya wananchi, kwnini kweli walishane maneno ya kutetea mambo ambayo ni dhahiri wananchi wanaitaka kwa mujibu ya tume ya warioba!
 
Serikali tatu na zije tu ila utakuwa ni mlango wa kuvunjia Muungano baada ya miaka michache, na hilo ni jambo zuri tu.


Historia haiishiwi wino.
 
Wapo wanaotaka serikali tatu na wapo wanaotaka serikali mbili na tunaamini wote wanafanya hivyo kwa nia nzuri kabisa. Nani mwamuzi? Mwamuzi ni Wananchi katika maoni yao kama yalivyo katika Rasimu ya Katiba Mpya.
 
Wapo wanaotaka serikali tatu na wapo wanaotaka serikali mbili na tunaamini wote wanafanya hivyo kwa nia nzuri kabisa. Nani mwamuzi? Mwamuzi ni Wananchi katika maoni yao kama yalivyo katika Rasimu ya Katiba Mpya.

Wanaotaka serikali mbili hawataki hilo kwa nia nzuri si umesikia kuwa wanafanya hivyo kwa kulinda maslahi binafsi na kama ulimsikia leo yule kijana ambae alitumia weledi mzuri wa kuzungumza na kufikisha ujumbe kwa wajinga na si kwa wapumbavu ,kuwa wapo wakuu tena wa CCM wanaotaka serikali tatu ,ila wanaotaka mbili ndio hivyo wanalao jambo !
 
chadema wanataka serikali tatu ili watawale bara kwa sababu hawakubaliki zanzibar. cuf nao wanataka serikali tatu kwa sababu hawakubaliki bara.ili watawale znz. janja ya nyani kula hindi bichi, tumewatambua na tumestuka.

Ni mawazo yako
 
Kwa nn isiwe serikali moja.Zanzibar inakuwa mkoa kama Nansio ukerewe ilivyo wilaya tu.HILO WAZO
 
UKILAZIMISHA MBWA WAKO AZAE HARAKA ANAZAA VIPOFU. CCM ACHA MSIMAMO WANU SI WAKATI WAKE HUU.:angry:
 
Back
Top Bottom