Recent content by kiraia

  1. kiraia

    Je wajua? 60% ya High-Speed train duniani zipo China

    Hata Bongo wako wafungwa wengi wenye ujuzi
  2. kiraia

    Amekusanya kila kitu karudi kwao, sasahivi anataka nimuhudumie

    Kwa kuwa watoto unao wewe yeye ndio anatakiwa akuhudumie wewe kwa sababu kulea watoto ni jukumu la wote na ukizingatia anafanya kazi.
  3. kiraia

    Nahitaji Mbegu ya Canola

    Miaka 4 bado hakuna jibu?
  4. kiraia

    Kwenye mambo yanayohusu maslahi ya Wanyonge ni ngumu Sana kuwasikia Wapinzani

    Mkuu, kwani Mbowe yuko Bungeni? Sheria imepitishwa bungeni unamwambiaje raia wa kawaida akutetete? Sauti za watanzania wangapi wamelalama kuhusu hizi tozo, kwani serikali haizisikii mpaka Mbowe Aongee?
  5. kiraia

    Niliambiwa chuoni wanawake ni wa kumwaga mbona mimi sipati?

    Za kuambiwa changanya na zako na ukicheza una Disco mzee
  6. kiraia

    Uchaguzi 2020 Magufuli akiwa Songwe: Msipomchagua Silinde sileti maji Tunduma

    Hii kusemwa na Kiongozi wa Kitaifa sio sawa kwa sababu watu wa Tunduma nao wanalipa kodi.
  7. kiraia

    Watu weusi wana roho mbaya na fikra za hovyo sana, ni wachache sana wenye utu!

    Mkuu na wewe ni walewale kama isssue ni kurudi basi wangelipa hiyo kumi kwa siku na baada ya mradi wawape hiyo arobaini kama mafao. Yaani ni mtu gani mjinga apate kazi yenye maslahi aichezee? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kiraia

    Wapi Naweza Kupata Jack Daniel Halisi?

    Mkuu hii pombe inakua imported na kampuni inaitwa Bevco Distribution na inasambazwa na hao Bevco wenyewe kwa kushirikiana na MMI. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. kiraia

    Dawa nzuri ya fungus ni ipi?

    CANDID pia ni nzuri Sent using Jamii Forums mobile app
  10. kiraia

    Huyu dada nashangaa hii confidence kaipata wapi?

    Naona umeokota dodo kwenye mnazi, angalia usije ukawa wewe ndio Fursa
  11. kiraia

    Ubelgiji: Mtoto genius mwenye miaka 9 atarajia kuhitimu Chuo Kikuu mwaka huu

    Yaani mtoto wangu ili aelewe labda hizi mada za kitabu waziandike kwa mfumo wa katuni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom