Wapi Naweza Kupata Jack Daniel Halisi?

Hey dude there is so much affordable local brew at your disposal scattered why kushadadadia vitu vilivyo nje ya uwezo wenu when our nation is passing hard economic times.

Huo muda wa kuuliza nakutafta Jack Daniels mnautoa wapi?

Fanyeni kazi!
In a population of 60m+ unafiki hakuna hata nusu milioni ya Watanzania wanoweza kuafodi boto ya chini ya laki.Living in Babylon has turned you into a completely TWAT.
 
Mkuu punguza kuparamia na kushindilia viporo vya kande iliyochacha.

Unajua JD original wewee? Cocktails unazifaham wewe?

Third world dwellers bana?

Fanyeni kazi!

Jamaa yangu sisi sio kama wewe mpenda mteremko, umeenda ulaya kufuata mteremko na kufaidi matunda ya mababu wa wenzio kudadeki, njoo huku tuwajengee wajukuu taifa na sio kutegemea mteremko..

Unakaa ulaya unaungaunga tu umri unaenda, wenzio tunalima maharage huku na kuuza huko huko ulaya tunaajili mpaka hao wazungu unaowapigia deki huko..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom