ccm mnapenda mada hizi ili kuzoofisha chama cha cdm kiache kuongelea wizi wenu kibase kwenye urais hakuna asiyejua kwamba ccm wanamuogopa sana Dr Slaa,na moto wake hakuna asiyejua ndio maana mnaanza kumzungumzia zito ,oo zito mwacheni zito naye na mzuri lakini mambo mazuri ya peoplesss wachieni...
Dhambi imeanza kuwala,watuambie ramadhani ni mfanyakazi wao??usalama ni wapuuzi wanatufanya sisi ndege au watoto.ole wenu kwa Mungu msio na huruma ninyi.
hamna ukweli hapo huo mradi ulianza zamani na ni mpango wa EU kuwezesha majiji kupitia program yao na si kwasababu mtyu fulani kaomba,hata kabla ya uchaguzi huo mradi ulikuwa umeaanza,tuchape kazi tuache siasa za kujisifu zisizo na maana,hatujafika kabisa ndo tunachechemea,kiukweli mbeya kikwete...
,rostam ni mkristu,msabaha ni mkristu,ridhiwani ni mkristu,wizi hauna mkristu wala mpagani,budha,wala mwislam.kwani majambazi wabnaochoma makanisa ni wakristu.upeo wao ninamashaka nao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.