Uamsho: Sasa Tunalivaa Swala La Kuuvunja Muungano Kiimani. Tuko Tayari Kwa Kila kitu

Kichapo kikianza msije kwenda kututia aibu tena kuomba hifadhi Somalia. Piganeni mpaka mtu wa mwisho mtaambulia japo kuzikwa Zanzibar, Hiyo ardhi kamwe hamtaichukua, Mwingereza na Mmalekani walishachukua zamani hivyo visiwa, mnabaki kuilaumu Tanganyika. Mnakuwa majuha msiojua hata adui yenu ni nani, someni Historia between the lines. Mnabaki tu kupokea misaada ya vipaza sauti toka Ubalozi wa Marekani, huku mkijua you have their backup hamjui what is behind the curtain na huu wote ni ujuha. Thread nyingi hapa zilishawaelimisha njia nzuri ya ninyi kuvunja muungano, moja wapo ni ushauri nzuri mliopata kwa Mwanakijiji kwa nini msiwaambia wawakilishi wenu wanaoganga njaa kwenye bunge la Muungano warudi kwenu tu, na muungano utakuwa umeisha period.
Njia mliyotumia kwa wabunge wenu kutoka ukumbini baada ya Meli kuzama, ndio njia hiyohiyo mnaweza itumia kuachana na muungano.Acha unafiki, tokeni kwenye muungano kwa vitendo

They are always useless and nothing more than troublesome and noisemakers.wapeleke upu*** wao uko visiwani tumeshachoshwa na kelele zao za kila siku...
 
HII NCHI INAHITAJI PHILOSOPHER KING WALAH. Yaani mtu yeyote anaweza tu kunyanyuka na kutukana watu na watu wanamkea tu. Mi nadahni Uamsho wanakosea wanapoanza kutukana. Wana hoja nzuri ila sasa wanapoanza kutukana siwaelewi
 
Zanzibar sio nchi kama ilvyo kwa Tanganyika sio nchi, bali kuna jamhuri ya jamhuri muungano wa Tanzania(Tanganyika+Zanzibar).Kwa msingi huo tuna Tanzania bara na Tanzania visiwani yaani Pemba na Unguja.
 
Zanzibar sio nchi kama ilvyo kwa Tanganyika sio nchi, bali kuna jamhuri ya jamhuri muungano wa Tanzania(Tanganyika+Zanzibar).Kwa msingi huo tuna Tanzania bara na Tanzania visiwani yaani Pemba na Unguja.
 
Hivi ukitukana wakati umefunga ramadhani, hiyo si sawa na kufuturu? Au kutukana kwa jina la 'Allah' kunaruhusiwa?
 
That is very dogmatic ideal,kwani madai yako si nchi bali ni udini na baadaye wakristo wazanzibar watadai nchi yao ndani ya zanzibar,kimsingi nchi nyingi hv ss zinaungana we unataka kutengana,wakati huo unataka kuwa mwanachama wa a.mashariki.
 
Mambo mazito na uongozi umekuwa kimya.Bora watoke sasa kuliko baade.Kwani hatungependa suicide bomber mtaa wa Congo
 
Serikali tatu, itamaliza hili tatizo.
Aisee fredrick usijifanye huelewi, ni lini umesikia uamsho wamesema wana tatizo na aina ya muungano, mimi nasema ukweli liwalo na liwe, wazanzibar hawataki ubara na ukristo, ni mapampano ya udini kama hujui, wanataka zanzibar yao ili iwe ya kidini. kama huamini sikiliza hapo kwenye u-tube.
 
Zanzibar sio nchi kama ilvyo kwa Tanganyika sio nchi, bali kuna jamhuri ya jamhuri muungano wa Tanzania(Tanganyika+Zanzibar).Kwa msingi huo tuna Tanzania bara na Tanzania visiwani yaani Pemba na Unguja.
Utawaelewa tu mkuu hao ndio uamsho kama ulikuwa huwajui vizuri
 
I am a muslim but i don,t like this groups called UAMSHO any more ,they have to deteriorate itself and leave the safe zanzibarian people live safely without any disturbances caused by them wearing smart KANZU but their intension to zanzibarians is ssooooo bad.

"thats your opinium (its ur right), i wonder if you r a zanzibari muslim, coz most of us here do LOVE Uamsho, and because of them most of us are awake now, if u happen to read what i'm writting right now, watch ZBC (TVZ) there is a seminar going on chaired by Hon Speaker of Baraza la Wawakilishi, interesting seminar indeed, Hon Shamsi Nahodha is in da house!"
 
kakangu clip gani? hauoni nimeweka video clips mbili?

Sijui dada au kaka uhuru1 sivizuri kutoa majibu ya jumla; mimi ni mkristu katika kazi zangu nikiambiwa nito TShs. 100,000 ili nipewe kazi ya 2,000,000/= niko tayari kuikosa hiyo kazi kuliko kutoa rushwa. Kutamka tuu kuwa wakristu woteni wezi mnakuwa hamjawatendea haki kundi kubwa sana wa hiyo imani; Mh. Idd Simba naye ni Mkristu? Mh. Mustaffa Mkullo naye ni Mkristu? Mbona hao nao wanatuhumiwa kwa ufisadi kubwa tuu?
 
Last edited by a moderator:
Kweli unyanyasaji na ubaguzi na chuki dhidi ya Watanzania bara Zanzibar iko katika hali ya kutisha. Tukamilishe serikali moja Tanzania yote

"over our dead bodies! itazidisha hizo chuki/ubaguzi uusemao. bora kila mtu kivyake na tutaheshimiana. na uhalisia hasa sio kama chuki mana na waTanganyika nao hawajambo kwa chuki dhidi yetu, jiangalie wewe tu na wengine humu 'jamiiforums' .... People's Republic of Zanzibar FIRST!"

 
Utawaelewa tu mkuu hao ndio uamsho kama ulikuwa huwajui vizuri

"tatizo hilo jina Tanzania Visiwani, hatulitaki hata kulisikia, ni Zanzibar! ilikuwa na itakuwa, muungano feki bye bye, mpango wetu unaenda vizuri kabisa, si muda mrefu kitaeleweka!"

 
kazi kweli kweli.
wakati rais wa tanzania ni muislam mwenzao naye ni kafiri?makamu wake muislam naye anawatala ni kafiri?
hoja dhaifu kama hamuoni umuhimu wa kuwa kwenye nchi ya tanzania isiyo na dini ila wananchi wake wana dini hamia Syria au yemen au oman au Libya au Misri au saudia.
 
ndugu zangu waafrika... ukicheki vizuri hawa viongozi wa UAMSHO ni waarabu... watawabagua mara baada ya kupata uhuru wenu na kwa kulijua hilo mzee karume akaunganisha zanzibar na tanganyika ili waafrica tuweze kujitawala na sio watu wengine...kumbukeni ukristo uislamu vyote ni mpito tu maana vimeletwa ili watutawale...HOPE MNAKUMBUKA DIVIDE AND RULE POLICY ndo majamaa wanatumia....jiepusheni piganieni muungano dini weka mbali ni kutuchonganisha tu akati sote ni ndugu...
 
Du!! sasa wakati wakujitoa muhanga umefika kwastyle yao ya ndevu tuepuke mikusanyiko[/QUOTEhakuna cha muhanga hiyo staili inatumika kwa waarabu tu kwa watu weusi sahau,baadhi ya wanzanzibar hawajijui yule mwarabu anaroho ya chuki hana lingine zaidi ya chuki na ubaguzi anataka kuwafukuza weusi,sasa sisi makamanda wa tz tutamlisha kiti....ili ajilipue vizuri kama ataki aende syria kwao lakini zanzibar ni tz,anakosa busara hata za nguruwe.
 
Back
Top Bottom