Diwani wa Mianzini (Dar) afariki dunia

Taarifa zaidi zinadai kuwa kuna makundi ambayo yamejengeka ndani ya kata hiyo ambapo baadhi ya makundi yalikuwa yanatofautiana na utendaji wa mama MACHA.ndugu waliohojiwa wanadai kwamba kabla hajaenda kwenye kikao aliongea na mwanafamilia mmoja akisema anakwenda kwenye kikao kujibu tuhuma dhidi yake na ndipo ikawa mwisho wake na hakurudi tena mpaka wakaketewa taarifa za msiba.R.I.P mama MACHA.
Hii inawezekana ni Mabwepande in a simplified manner, R.I.P mama kama ulikufa ukipigania haki basi damu yako haitaenda bure! Pigana na wabaya wako hata ukiwa huko kwa mungu!!again R.I.P!
 
Apumzike kwa amani heri ameniachia kata yangu na CHADEMA yangu.Tupieni majina wanaofaa kuchukua nafasi yake kwan muda ni sasa 2anze kampeni aliyekufa kafa ss 2songe mbele Makamanda
 
Mpungati kuwa CCM siyo kuwa muovu au mtu wa motoni na kuwa CDM siyo kuwa mtu wa peponi.

May Almight Allah rest her soul in peace.

Kuwa chama cha magamba ni kuamini ufisadi na unafiki na kuweka rushwa mbele hivyo njia yenu ni motoni lakini M4C wao wanamtanguliza Mungu mbele hivyo njia yao ni peponi!! Hata hivyo R.I.P mama Macha.
 
Apumzike kwa amani heri ameniachia kata yangu na CHADEMA yangu.Tupieni majina wanaofaa kuchukua nafasi yake kwan muda ni sasa 2anze kampeni aliyekufa kafa ss 2songe mbele Makamanda

Ushindwe na ulegee kwa jina la ccm.
 
Ni msiba unaosikitisha. Siku moja tuliingia kwenye malumbano ya maneno na mama huyu baada ya kumtaka atekeleze mojawapo ya ahadi zake. Well, hakunijibu vizuri na akawa akinitishia kwenye simu, nikajaribu kumweleza kuwa tunapokuwa na shida viongozi wetu akiwemo yeye hawajali. Akanijibu kwa maneno makali, nikamwambia mama kiongozi hajibu kwa jinsi hiyo hasa ukizingatia ni yeye aliyeomba kututumikia. Akazidi kuwa mkali nikamwambia mama nimekupigia kwa nia njema kufuatilia na kukumbushia juu ya maendeleo ya kata unayoiongoza, sikukupigia simu unifokee na kwa sababu umeshindwa kuwa na adabu kwa mpiga kura wako sioni sababu ya kuendelea kutumia fedha zangu kuongea kwenye simu kwa mambo yaliyo-obvious, kisha nikakata simu...hakuna kilichowahi kuendelea. Ukweli ni kuwa kwenye kata ya Mianzini kuna kero nyingi sana ikiwemo barabara zisizopitika tangu mvua izifumue zaidi, maji hakuna, umeme tatizo, nk. Chadema hawajaja kabisa kwenye kata hii iliyokuwa chini ya CUF kabla ya CCM kuichukua tena.

Changamoto kwa CDM: Anzeni sasa kwani bado hamjachelewa
 
Nimepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha Diwani wa Kata ya Mianzini, Tarafa ya Mbagala, Mama Cecilia Macha.
Natoa pole kwa familia yake kwa msiba huu uliowafika.
Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen
Dr Faustine Ndugulile
Mbunge-Kigamboni
 
Arrest in fire kama alikuwa fisadi. CHADEMA tuingie kazini.

Utaifa kwanza kifo ni kwa zamu.... kejeri ni mbaya.

Meli ilipozama chadema na CUF wakaomba bunge liahilishwe kama ingekuwa ni furaha wakati wa msiba wasingefanya hivyo.
 
Nimepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha Diwani wa Kata ya Mianzini, Tarafa ya Mbagala, Mama Cecilia Macha.
Natoa pole kwa familia yake kwa msiba huu uliowafika.
Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen
Dr Faustine Ndugulile
Mbunge-Kigamboni

Ni msiba wetu wote Mh. poleni sana.
 
mtoto wa nyoka ni nyoka!Rest in hell kama alikua fisadi.....
CHADEMA tupige kazi hapo tuna beba mwali wetu....

wakati wa msiba ya Bob Makani, Regia mtema na Chacha Wangwe tulikuwa pamoja bila kujali itikadi zetu. Nini kinakufurahisha wakifa upande wa CCM hadi unashangilia???? unatufundisha nini wengine???
 
Ni msiba unaosikitisha. Siku moja tuliingia kwenye malumbano ya maneno na mama huyu baada ya kumtaka atekeleze mojawapo ya ahadi zake. Well, hakunijibu vizuri na akawa akinitishia kwenye simu, nikajaribu kumweleza kuwa tunapokuwa na shida viongozi wetu akiwemo yeye hawajali. Akanijibu kwa maneno makali, nikamwambia mama kiongozi hajibu kwa jinsi hiyo hasa ukizingatia ni yeye aliyeomba kututumikia. Akazidi kuwa mkali nikamwambia mama nimekupigia kwa nia njema kufuatilia na kukumbushia juu ya maendeleo ya kata unayoiongoza, sikukupigia simu unifokee na kwa sababu umeshindwa kuwa na adabu kwa mpiga kura wako sioni sababu ya kuendelea kutumia fedha zangu kuongea kwenye simu kwa mambo yaliyo-obvious, kisha nikakata simu...hakuna kilichowahi kuendelea. Ukweli ni kuwa kwenye kata ya Mianzini kuna kero nyingi sana ikiwemo barabara zisizopitika tangu mvua izifumue zaidi, maji hakuna, umeme tatizo, nk. Chadema hawajaja kabisa kwenye kata hii iliyokuwa chini ya CUF kabla ya CCM kuichukua tena.

Changamoto kwa CDM: Anzeni sasa kwani bado hamjachelewa

Kumbe ni kweli marehemu huwa wanadaiwa baada ya kufa....

Nimezoea mahakama ikimfutia kesi marehemu.

Nilikuwa nasikia tu mitaani kwamba kuna kabila moja mtu akifa wanakimbilia kudai change (madai) hata kabla ya mazishi.
 
Ni wa kata ya Mianzani wilaya ya Temeke.
R.I.P. Cecilia Macha
 
Back
Top Bottom