Recent content by KIPAUMBELE sir

  1. K

    CCM yasikitishwa, yaomba radhi kwa Bango lenye ujumbe wa Uchochezi Zanzibar

    Chongolo huna lolote bango mmeliandaa Kwa makusudi Na mmeamua kulipitisha mchana kweupe mbona viongozi wenu hawakulikemea palepale uwanjani Na walikuwepo? Malipo ya dhambi hiyo in hapahapa duniani Mungu anaona dhuluma mnayoifanya Bara na Visiwani ya Uchaguzi
  2. K

    Hongera CCM kuomba radhi bango la zanzibar

    Ya wenje yanakujaje? Suala in Bango la Kibaguzi ni Aibu kubwa mbele ya Viongozi wakuu Wa CCM wanaccm wanapita Na bango la Ubaguzi nilitegemea uongozi makini ungekemea palepale kuonyesha kushtushwa Na bango hilo.
  3. K

    Kinana anahusika na kampuni ya Six Telecoms inayoendeshwa na Rashid Shamte

    Magufuli umesikia huo uongozi Wa Six ?
  4. K

    UKAWA washinda kiti cha Umeya Kinondoni, 16 January 2016

    Viva Lowassa, viva sumaye CCM chaliiii
  5. K

    Serikali yafanya mabadiliko ya uongozi katika Bandari ya Dar es salaam

    Watanzania huwezi kupata mabadiliko ndani ya CCM
  6. K

    M/Kiti wa ZEC Salim Jecha: Maalim Seif asiogope kurudia uchaguzi

    Mzee jecha dhambi hii itakutafuna milele
  7. K

    Hivi hii shida ya usafiri mjini Dar itakwisha lini?

    Haiwezi kwisha mpaka zoezi la serikali kuhamia Dodoma litekelezwe.Baba Wa Taifa alitaka kuufanya mji Wa Dodoma uwe Wa shughuli za serikali Na Jiji la Dar liwe la biashara .Nchi kama Nigeria zimefanya hivyo Na Afrika ya kusini.Badala ya watu wote kuja Dar ,wale wenye masuala ya serikali wanaenda...
  8. K

    Wabunge kuwa mawaziri bila kiapo cha bunge sheria inasemaje?

    Unapochaguliwa au kuteuliwa kuwa Mbunge in sharti ule kiapo Bungeni mbele ya Spika.Mh.Rais ametumia nafasi zake kuteua wabunge miongoni akiwemo Waziri Wa Fedha Na mawaziri wengine kama 5. Je wateule hao waliapa kiapo cha bunge ? Kama hawakuapa Sheria inasemaje ? Je kuapa kiapo cha uwaziri bila...
  9. K

    Viongozi wa dini mbona mmekaa kimya wakati CCM ikionyesha bango la ubaguzi Zanzibar?

    Nimeshangazwa sana Na viongozi Wa dini zetu hapa Tanzania Kwa ukimya wao juu ya bango la ubaguzi lililoandaliwa Na CCM Na kupitishwa mbele ya viongozi mbalimbali Wa nchi hii Na mabalozi katika Uwanja Wa Amaan . Viongozi hao wakati Wa uchaguzi mkuu Wa mwaka 2015 walimwandama Mh. Lowassa Wa...
  10. K

    Wanasheria wetu mtujuze mbunge wa kuteuliwa nae huapa Bungeni?

    Ninaomba kujua iwapo mbunge Wa kuteuliwa Na Rais nae huapa bungeni kama wabunge Wa kuchaguliwa?
  11. K

    Usaliti ndani ya UKAWA: Lowassa abaki mpweke baada ya wenzake kukubali ushindi wa Dr. Magufuli

    Nifah kuna watu akili zao in kidogo sana ndio maana wanajadili watu
  12. K

    Waandishi wetu na Vichwa vya habari vya magazeti

    CCM iache kuleta mzaha kwenye suala la Zanzibar
  13. K

    Tamko la UVCCM TAR 13.1.2016

    CCM mwogopeni Mungu Malipo ni hapa hapa duniani acheni dhuruma mungu hapendi kuna maisha baada ya kutawala
Back
Top Bottom