Wanasheria wetu mtujuze mbunge wa kuteuliwa nae huapa Bungeni?

Ninaomba kujua iwapo mbunge Wa kuteuliwa Na Rais nae huapa bungeni kama wabunge Wa kuchaguliwa?
Mhhh nashangaa swali lako hili..maana siamini kama kweli hujui hilo
Anyway wanaapa maana wote ni wabunge na wanakaa jengo moja la bunge Dodoma. ...what is your point of view? ???
 
Back
Top Bottom