KIPAUMBELE sir
Member
- Jan 1, 2016
- 80
- 12
Unapochaguliwa au kuteuliwa kuwa Mbunge in sharti ule kiapo Bungeni mbele ya Spika.Mh.Rais ametumia nafasi zake kuteua wabunge miongoni akiwemo Waziri Wa Fedha Na mawaziri wengine kama 5. Je wateule hao waliapa kiapo cha bunge ? Kama hawakuapa Sheria inasemaje ? Je kuapa kiapo cha uwaziri bila kwanza cha bunge uwaziri wao ni halali?