wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 554
kwenye sherehe za mapinduzi kulikuwa na bango ambalo halikuwafurahisha wafuasi wa Cuf.
ki ubinadamu na ustarabu CCM imewaomba radhi.
siasa si ugomvi wala mafarakano ni hoja na maridhiano.
kwa maana hiyo hakuna umuhimu tena makongamano ya kujadili kitu kilichoombwa radhi.
itakumbukwa wenje akiwa waziri kivuri wa mambo ya nchi za nje akiwalisha bajeti kivuri bungeni alitamka kuwa Cuf ni chama kinasapoti chama cha mashoga (walibel) alitakiwa awaombe radhi alikataa katakata hata chama chake chadema hakikuomba radhi.
leo eti wameshikilia bango suala ambalo wahusika wameomba radhi.