lifuen2015
Member
- May 15, 2015
- 93
- 13
Baada ya kuona kichwa cha habari kikubwa cheusi kimeandikwa,nimeshtuka nakuona uandishi wa aina hii, hauna uzalendo na ni hatari kwa taifa na ni uchochezi (sedition).
Huwezi mtu andika kwa ubashiri wa kumwaga maana ujue umwagaji damu ukifika hata ya kwako kama mwandishi itamwagika.
Kuweni makini waandishi wetu jamani.
Huwezi mtu andika kwa ubashiri wa kumwaga maana ujue umwagaji damu ukifika hata ya kwako kama mwandishi itamwagika.
Kuweni makini waandishi wetu jamani.
Last edited by a moderator: