Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,639
Wakuu habari ya usiku huu,
Nipo hapa arusha yapata siku ya tatu sasa nimepita mitaa mingi ya wilaya mbili za mkoa huu wa arusha asilimia kubwa ya watu wanamchukia sana Lowasa wanadai hakuna alichofanya alipokuwa kiongozi mkubwa wa serikali hata alipokuwa mbunge.
Wengi wao wanasema Lowasa aliwatawala wala hakuwaongoza kumbe kura zake nyingi alikuwa anazinunua na kulazimisha wagombea wengine wajitoa ili asipate ushindani kwenye uchaguzi.
Jamani kusema kweli nimeshangaa Lowasa anachukiwa siyo mchezo hasa kwa hawa watu wa kawaida wale wenzangu na mimi ukiacha wale matajiri wakubwa wanaotembea na bastola kwenye magari yao mda wote.
Imenifanya nijiulize sana sasa hao watu ambao tulikuwa tunawaona kwenye runinga wakimshangilia Lowasa wako wapi? Mbona asilimia kubwa ya watu wanamchukia? Nimepata shida sana ndugu zangu wa arusha nisaidieni wako wapi hao watu wanaompenda Lowasa au wale waliokuwa wanampenda Lowasa hapa Arusha?