Habari zenu wakuu,
Uzi huu ni maalumu kwa wale ambao wanahitaji kwenda kusomea kozi ya clinical medicine tu.
Tutajuzana kuhusu mpangilio wa masomo,namna ya kupata GPA nzuri na mengine mengi yenye kuleta maendeleo.
Karibuni.
nimekutana na tangazo la wizara...kuna tangazo limetolewa kwamba kuna vyuo wanataraji kuanza masomo 18/4....!!!mwisho wa application tarehe 31/3...!!!limenichanganya mno....!!maana kuna tangazo walisema mwisho 31/5....!!!msaada jamani
unavifahamu vyuo vya mitaani?unajua vigezo mpaka chuo kipewe usajili wa kudumu?kwa taarifa chuo kimepewa kibari maalum kufanyia mazoezi yake kwenye hospital ya rufaa..pia kina usajili wa kudumu toka nacte....INA maana chuo kimekidhi vigezo vyote vya nacte!!!
acha kupotosha jamii....tuition fee ni 1.6 mil!!!kwa hostel ni 3000000...!!!!!hii ni kwa upande wa sisi wa diploma....!!!na kumbuka hakina magumashi maana kina usajili wa kudumu....!!!!!!na kumbuka hiki ni chuo cha afya na sayansi shirikishi...!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.