Msaada: Naomba kujuzwa sifa za kujiunga ualimu ngazi ya cheti

Ni muda umepita tangu kufutwa kwa mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti! Kwa ushauri zaidi ungesema una matokeo gani ili upewe ushauri zaidi!!

Kwa sasa wanasoma kwa ngazi ya diploma hakuna tena ngazi ya cheti!!

Kwa maelezo zaidi ya kujiunga na na ualimu kwa ngazi ya diploma visit. www.nacte.go.tz
 
Kuna Dogo ana matokeo yafuatayo;civ D, Geo D, Kiswahili D, English D, Mathematics D, Physics D, Biology C, Chemistry D, anaweza kusoma kozi zipi za afya?
 
Kwa hiyo afanye taratibu za kutuma maombi nacte sio?
Ndicho kinacho takiwa kwa sasa kwa maana, ukiangalia vigezo vya Mathematics na English anavyo tayari na istoshe masomo ya afya kafaulu kwa uwezo mzuri wa kumfanya apate nafasi. Cha msingi atume maombi ndilo lililo bakia tena kwa nyanja yeyote ya afya anayo hitaji kuisoma atapata...!
 
Mi naomba kujua utaratibu wa kujiunga dip ya ualimu kwa vyuo vya serikali na ada ni kiasi gani? Vigezo vyote kwa ufaulu ninavyo
 
ImageUploadedByJamiiForums1459170754.894197.jpg
Teaching anapata huyoo au hapana wadau nijuze zaid
 
Back
Top Bottom