Msaada: Anayepafahamu / Aliyesoma / Anayesoma Nkinga Institute of Health(Igunga Tabora)

mzama chumvini

JF-Expert Member
Mar 14, 2016
730
641
Sabakher Wadau; Nahitaj Kumpeleka Mdogo Wangu Hapo Akapige Diploma In Clinical Officer!! Mwenye Taarifa Naomba Anisaidie Yafuatayo;

1. Ada Kwa Mwaka
2. Fedha Ya Hostel
3. Mazingira Ya Chuo
4. Uhakika Wa Ajira.
ASANTENI
 
say diploma in clinical medicine....not clinical officer!!!
 
Sidhani kama wanatoa kozi ya clinical officers. Ninachojua ni kuwa wao hufundisha kozi za nursing kwa cheti na diploma. Labda kama wameanza hivi karibuni.
 
Back
Top Bottom