Njoo Decca College of Health and Allied Science

chuo kina bei hicho sijapata kuina, cheti tu 3,000,000 inaanzia
acha kupotosha jamii....tuition fee ni 1.6 mil!!!kwa hostel ni 3000000...!!!!!hii ni kwa upande wa sisi wa diploma....!!!na kumbuka hakina magumashi maana kina usajili wa kudumu....!!!!!!na kumbuka hiki ni chuo cha afya na sayansi shirikishi...!!!!!!
 
kina hospital?
 
ada zao zipo kwenye guidebook ya nacte sasa sijui napotoshaje
 
Lol! Umeulizwa chuo kina hospital! Unazunguka et hatua kum! Decca ipo karibu imeshare ukuta na general hospital ya dodoma! Hatua kumi ukivuka road unakutana na kale ka dispensary! Je ile ni hospital ya mtu kujifunzia elimu tiba??
Halafu ada umesema 1.6 + 3.4! Total 5M mara 3 = 15M.! Mkuu hii ni ndogo?? Na kwa maisha ya dodoma m2 utaish vp!? Waite matajir wenzako waje! Tombstone Piledrive kipande cha mtu
 
sioni jibu LA kukupa....mazoezi yanafanyika general Hospital ...ada Mimi nalipa mil 1.6......awamu tatu!!!3.4+16 ya wapi
 
iko chuo hakina hosptal,kama unataka vyuo vzr vya private kuna bumbuli cotc,sengerema cotc,st agustine na machame cotc hivyo ndio vyuo bora vikongwe.usihangaike na vyuo vya mitaan
unavifahamu vyuo vya mitaani?unajua vigezo mpaka chuo kipewe usajili wa kudumu?kwa taarifa chuo kimepewa kibari maalum kufanyia mazoezi yake kwenye hospital ya rufaa..pia kina usajili wa kudumu toka nacte....INA maana chuo kimekidhi vigezo vyote vya nacte!!!
 
acha kupotosha jamii....tuition fee ni 1.6 mil!!!kwa hostel ni 3000000...!!!!!hii ni kwa upande wa sisi wa diploma....!!!na kumbuka hakina magumashi maana kina usajili wa kudumu....!!!!!!na kumbuka hiki ni chuo cha afya na sayansi shirikishi...!!!!!!
Nimeitwa Decca.
Hivi tuition fee kumbe ni 3milion kwa hostel? So nikilipia tuition fee ya 1.6 inabidi nikae nje ya chuo?
Naomba nisaidie
 
Back
Top Bottom