Recent content by Kinyau aek

  1. K

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na dk. Slaa ni viongozi waongo sana

    Huyu anayezungumzia uwepo wa maendeleo Ya nchi na wananchi wake kwa miaka 53 ya uhuru mwambie atembelee word za wazazi mwananyamala, Amana na Temeke tu aone Wazazi wetu wanavyodhalilika kwa kulazwa ktk kitanda kimoja wazazi 2 pamoja na watoto wao 💃💃💃😷😷. Au...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM muungane kuiponya Serikali

    Tena dharau/vitisho/ubabe kwa wanaojaribu kusema ukweli sidhani kama watakuwa wamefanikiwa, labda niseme wazi kuwa watanzania wamechoshwa kuongozwa na viongozi matapeli, waongo, wasio hata na tone la uzalendo kisa ni wana CCM, hapana kumbuke hii ni nchi inayomilikiwa na watanzania wote na wote...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM muungane kuiponya Serikali

    Wakiungana Kutetea wizi, dharau za viongozi wezi kwa viongozi waadilifu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Anachokifanya Hans Poppe ndani ya Simba

    Mkutano Mkuu wa wanachama wa SSC ndio watakao amua ni vipi club Yao wanataka iwe na iendeshwe vipi, basi wanachama wote jaribuni kuwa watulivu na kujiepusha na Maneno Ya kuudhi au kukashifu mwanacha mwingine" hayo hayaisaidii club wala wanachama!! Natumai mwanachama wa kweli atakuwa na maoni Ya...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Dr. Wilbrod Slaa

    Happy birthday comrade Slaa" mungu akupe maisha mema, marefu na yenye mafanikio.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Atorokwa na MKE siku moja baada ya harusi!!! Toa maoni

    Akamwone dr huyo mwanaume cio mzima.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa ziara ya Warioba wilaya ya Bunda

    Mimi nadhani kuna watu eidha Kwa makusudi au kwakutojua maudhui ya mada hii wanazungumza vitu Vya ovyo ovyo' suala" kwani kuzungumzia mtu kutumia kinywaji au chakula fulani ni aina ya udhalilishaji kwanza mtu kama Warioba wanaemdhihaki ni mtu wa viwango ambaye hakuna wa kimfananisha kwa watawala...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club, Safari Ni Ndefu Sana

    Kila atafutae hachoki na akichoka ujue kisha pata. Viva ssc.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe na Januari Makamba, mnataka kumpotosha nani?

    Hi all JF members
Back
Top Bottom