Happy birthday Dr. Wilbrod Slaa

Happy birthday Dr. Wilbrod Slaa

Happy birth day Dr Slaa!!
tuna kushuku sana kwa kuwaumbuwa mafisadi, tumeona Harakati zako kwa matendo, pia tuna kupongeza kwa kukifanya chama chako kuwa Chama imara cha upinzani hapa Tanzania.
Pia wakina Maana hawata kusahau kamwe kwa Uchapaka wako na utu ulio nao wa kuwasadia hasa kutokomeza Fistula hapa nch kupitia taasisi ili chini yako CCBRT. Mungu akupe Maisha Marefu mzalendo wa Kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom