Wabunge wa CCM muungane kuiponya Serikali

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Msikubali. Mjadala wa Ripoti ya ESROW/IPTL toka kwa CAG na TAKUKURU ukianza muwe kitu kimoja. Mpambane kuiokoa Serikali. Pambaneni kwa hoja na kuhakikisha kuwa Serikali inabaki salama. Haitaleta sura nzuri kwa Serikali ya awamu ya nne kuyumbishwa mara ya nne sasa. Fanyeni kila liwezekanalo, ili haja zizidiwe na hoja.

Hakuna sababu ya kuwa na Party Caucus kwa jambo hili. Hakikisheni hajiuzulu mtu. Tumechoka.Tumechoka kubadili Mawaziri.Waliopo wabaki.Tumechoka kuonwa mafisadi karibu chama kizima. Msikubali Wabunge wetu. Pambaneni.

Off-record: Mwanangu Chabruma, tafadhali usiendelee kupotoshwa na MwanaDiwani kuhusu mimi. Nimemfunza kazi za chama mimi mwenyewe. Hana shukrani

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Last edited by a moderator:
Mzee TupaTupa,tutawezaje kulea wezi? Mwaka mmoja ni mrefu mmoja. Hawastahili,ni bora wakajiuzulu.
 
Mzee TupaTupa,tutawezaje kulea wezi? Mwaka mmoja ni mrefu mno. Hawastahili kuendelea kushika madaraka,ni bora wakajiuzulu.
 
Msikubali. Mjadala wa Ripoti ya ESROW/IPTL toka kwa CAG na TAKUKURU ukianza muwe kitu kimoja. Mpambane kuiokoa Serikali. Pambaneni kwa hoja na kuhakikisha kuwa Serikali inabaki salama. Haitaleta sura nzuri kwa Serikali ya awamu ya nne kuyumbishwa mara ya nne sasa. Fanyeni kila liwezekanalo, ili haja zizidiwe na hoja.

Hakuna sababu ya kuwa na Party Caucus kwa jambo hili. Hakikisheni hajiuzulu mtu. Tumechoka.Tumechoka kubadili Mawaziri.Waliopo wabaki.Tumechoka kuonwa mafisadi karibu chama kizima. Msikubali Wabunge wetu. Pambaneni.

Off-record: Mwanangu Chabruma, tafadhali usiendelee kupotoshwa na MwanaDiwani kuhusu mimi. Nimemfunza kazi za chama mimi mwenyewe. Hana shukrani

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Yaani waiokoe serikali dhidi ya kuparaganyika?
Yaani watete madudu ya serikali ya CCM?
Awkay, kwamba kiapo cha kulinda katiba, kulinda mali ya umma na kutetea wanyonge sio dhima za CCM tena?
Asante mkuu VUTA-NIKUVUTE kwa kutufahamisha habari za 'jikoni'kuhusu mahali CCM ilipofika
 
Tume wazowea Ccm kutetea uozo maana mko madarakani kwa ajili ya matumbo yenu na fdamilia zenu. Sitoshangaa hata msipo ijadili kabisa maana nyie ni ukoo wa panya hamjali kesho itakuwaje. Lakini eleweni kizazi mnacho cheza nacho sio kile cha 1961.

Hiki kizazi hakijui historia ya TANU wala ASP. Sembuse Ccm. Iko siku mtashangaa histyoria inavyo kwenda kuwa hukumu. Mnatia hasira sana ati hospitali hazina dawa kina mama na watoto wanakufa. Shule hazina madawati nyie mnagawana pesa za UMMA??? Mungu atawapatiliza mchana kweupe.
 
Tena dharau/vitisho/ubabe kwa wanaojaribu kusema ukweli sidhani kama watakuwa wamefanikiwa, labda niseme wazi kuwa watanzania wamechoshwa kuongozwa na viongozi matapeli, waongo, wasio hata na tone la uzalendo kisa ni wana CCM,

hapana kumbuke hii ni nchi inayomilikiwa na watanzania wote na wote wana haki sawa" na ninachoweza kuwasii wabunge wa CCM ni kusimama imara kuitetea nchi yao kwaajili Ya ustawi wa watu wake"

lakini wakithubutu kuwalinda walio wahalifu mbele Ya umma huu wa watanzania hawa" basi na wawe tayari kukumbana na wananchi wenye hasira na kitakachotokea wote tunajua" aliye mwizi na sheria ichukue mkondo wake' tunawapenda wabunge wetu' lakini Tanzania tunaipenda zaidi.
 
Msikubali. Mjadala wa Ripoti ya ESROW/IPTL toka kwa CAG na TAKUKURU ukianza muwe kitu kimoja. Mpambane kuiokoa Serikali. Pambaneni kwa hoja na kuhakikisha kuwa Serikali inabaki salama. Haitaleta sura nzuri kwa Serikali ya awamu ya nne kuyumbishwa mara ya nne sasa. Fanyeni kila liwezekanalo, ili haja zizidiwe na hoja.

Hakuna sababu ya kuwa na Party Caucus kwa jambo hili. Hakikisheni hajiuzulu mtu. Tumechoka.Tumechoka kubadili Mawaziri.Waliopo wabaki.Tumechoka kuonwa mafisadi karibu chama kizima. Msikubali Wabunge wetu. Pambaneni.

Off-record: Mwanangu Chabruma, tafadhali usiendelee kupotoshwa na MwanaDiwani kuhusu mimi. Nimemfunza kazi za chama mimi mwenyewe. Hana shukrani

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Watete uozo? tulishasema Lowassa alitolewa kama kafara wakati papa wa mafisadi yuko na anafahamika,yuko nje kwenye MATIBABU,no way out he has to go we are fed up with his ability kama kweli ni mwanauchumi,kila kukicha ni kashfa,tumechoka.

He has to go with his dying government.

We need people with new ideas, LOWASA ,LOWASA,LOWASA,LOWASA

TUNAKUOMBEA UJE UIKOMBOE HII NCHI TUNAKUFA!
 
msikubali. Mjadala wa ripoti ya esrow/iptl toka kwa cag na takukuru ukianza muwe kitu kimoja. Mpambane kuiokoa serikali. Pambaneni kwa hoja na kuhakikisha kuwa serikali inabaki salama. Haitaleta sura nzuri kwa serikali ya awamu ya nne kuyumbishwa mara ya nne sasa. Fanyeni kila liwezekanalo, ili haja zizidiwe na hoja.

Hakuna sababu ya kuwa na party caucus kwa jambo hili. Hakikisheni hajiuzulu mtu. Tumechoka.tumechoka kubadili mawaziri.waliopo wabaki.tumechoka kuonwa mafisadi karibu chama kizima. Msikubali wabunge wetu. Pambaneni.

Off-record: Mwanangu chabruma, tafadhali usiendelee kupotoshwa na mwanadiwani kuhusu mimi. Nimemfunza kazi za chama mimi mwenyewe. Hana shukrani

mzee tupatupa wa lumumba, dar es salaam
unadhilisha kuwa unatetea uovu. Hufahi hata kuongoza familiya yako.
 
Nilivomwelewa Mzee Vuta Nikuvute katumia lugha ya kejeli dhidi ya wabunge wa CCM
kawasema waache unafiki walitete taifa na sio chama
pambanueni akili zenu kufikiria zaidi nje ya box
 
Naunga mkono hoja, watusaidie kutoa elimu kwa umma kuwa hili lichama ni la majizi yasiyo na huruma kwa wananchi. Kitakachofuata ni kuizika rasmi CCM.
 
Mkuu VUTA-NKUVUTE, unataka hao wabunge wapambane kuiokoa serikali...wapambane na nani? na kwa faida ya nani?

Kama kila hatua ya sakata hili ilizingatia uzalendo (nadhani unajua kuwa sheria haina uzalendo), hata kama kuna mkanganyiko wa kisheria hakuna haja ya kupambana!!!! Tunachotaka kujua ni jinsi gani serikali tuliyoiamini na kuikabidhi kazi ya kulinda raslimali za nchi na kuinua uchumi wa nchi kwa niaba ya wananchi wanatekeleza majukumu hayo.

Na siyo watuambie kwamba wanatekeleza bali sisi tuone kwamba utekelezaji unatendeka.

cb
 
Last edited by a moderator:
Unadhani kila Mbunge aliyeko mjengoni alipata mgao wa fedha hizo?
Acha watetee sana huo uovu, wananchi wanarekodi kila mbunge atakayesimama kutetea mwisho wa siku Vichwa vyao vitakuwa halali yetu mbele ya sanduku la Uchaguzi 2015.....
 
Pinda alisema uongo bungeni.. Kwamba zile fedha hazikuwa za serikali bali za IPTL.. Na Mhongo na Maswi pia walishikia bango bila ya kumsahau Kubwa la matumbili muraa.. CAG amethibitisha fedha ni za serikali kupitia Tanesco.. Naomba hawa kwanza waachie ngazi kwanza..
 
Msikubali. Mjadala wa Ripoti ya ESROW/IPTL toka kwa CAG na TAKUKURU ukianza muwe kitu kimoja. Mpambane kuiokoa Serikali. Pambaneni kwa hoja na kuhakikisha kuwa Serikali inabaki salama. Haitaleta sura nzuri kwa Serikali ya awamu ya nne kuyumbishwa mara ya nne sasa. Fanyeni kila liwezekanalo, ili haja zizidiwe na hoja.

Hakuna sababu ya kuwa na Party Caucus kwa jambo hili. Hakikisheni hajiuzulu mtu. Tumechoka.Tumechoka kubadili Mawaziri.Waliopo wabaki.Tumechoka kuonwa mafisadi karibu chama kizima. Msikubali Wabunge wetu. Pambaneni.

Off-record: Mwanangu Chabruma, tafadhali usiendelee kupotoshwa na MwanaDiwani kuhusu mimi. Nimemfunza kazi za chama mimi mwenyewe. Hana shukrani

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
...wewe ni kuku?
 
Nilivomwelewa Mzee Vuta Nikuvute katumia lugha ya kejeli dhidi ya wabunge wa CCM
kawasema waache unafiki walitete taifa na sio chama
pambanueni akili zenu kufikiria zaidi nje ya box

Mkuu sisi werevu tulishamuelewa kitambo. Yaani ni kinyume chake.
 
Pinda alisema uongo bungeni.. Kwamba zile fedha hazikuwa za serikali bali za IPTL.. Na Mhongo na Maswi pia walishikia bango bila ya kumsahau Kubwa la matumbili muraa.. CAG amethibitisha fedha ni za serikali kupitia Tanesco.. Naomba hawa kwanza waachie ngazi kwanza..
Kama pool table!!!!
 
Mkuu sisi werevu tulishamuelewa kitambo. Yaani ni kinyume chake.

Hapa ndipo unaweza kupima watu wenye akili za kubandikizwa! Hapa jamaa anatumia lugha fulani ya kuwamaliza ndugu zake CCM! Sijui inakuwaje mtu ashindwe kumuelewa! Tumekuelewa mkuu kwani unatoa FUNDISHO!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom