assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
- Thread starter
- #41
akili ndogo vs akili ndogo. wanamadiliko vs wahafidhina wasomi vs vilaza
msomi anargue sio kushout kalyman
akili ndogo vs akili ndogo. wanamadiliko vs wahafidhina wasomi vs vilaza
Ni mala ngapi tumeshuhudia mawaziri na wabunge wa ccm wakiongopa hadharani? Hivi humo kichwani mwako upo sawasawa kweli au ni njaa tu zinakituma vibaya? Vi thread vyako vyote hapa jukwaani havinaga hoja zaidi ya upumbafu tu.
ni kosa mfanyakazi kuinyesha chama chake kwani anahudumia watu wote
Huu ni uharo tupu!Ulishatutangazia humu kuwa wewe ni msaliti, muongo na mzandiki unayekula na kunufaika na mshahara wa serikali iliyopo madarakani huku ukiisaliti. Utabaki hivyo hivyo
mm ni critical thinker mm sio level yk better go
Kuna muongo kama Kikwete aliyedai kwamba pesa za EPA zimerudishwa na hadi hii leo kashindwa kutoa ushahidi wa aina yoyote ile kuonyesha kwamba pesa za EPA zimerudishwa? Ahadi zake chungu nzima kwa mfano kuigeuza Kigoma eti kuwa Dubai ya Afrika!!!! Kuna uongo zaidi ya ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya!? Fungua akili yako acha kujifanya zezeta.
kwa maslai ya chadema mue mnakubali wakosolewe,mbona JK anakosolewa
KUNA MSEMO USEMAO UKIWA MUONGO USIWE MSAHAULIFU.
kuna wengine wataona labda siwapendi viongozi la hasha!!!
ukiwa kiongozi unapaswa kuzungumza unayoishi.
MH MBOWE MARA NYINGI AMEDAI UCHAGUZI WA 2014/15 CHADEMA ITAKUA IMEKOMAA KITAASISI NA ITAKUA INAANDAA VIONGOZI WAKE YENYEWE
FACTS/TRUTH METER
KATIKA uchaguzi serikali chadema imesimamisha wagombea wake waliokimbia ccm baada ya kuchujwa
MATOKEO
WENGI WAMEWEKEWA PINGAMIZI WENGINE HAWAKUAGA KABLA YA KUJIUNGA CHADEMA.
UKIACHA KUNA MGOMBEA ALIWEKEWA PINGAMIZI HAJUI KUSOMA TOFAUTI NA KAULI YAB MBOWE YA KUANDAA VIONGOZI
UDHAIFU
SS MH. MBOWE AMEANDIKA BARUA KWA PM AKILALAMIKA. WHAT KIND OF A LEADER WE HAV?
Ni mala ngapi tumeshuhudia mawaziri na wabunge wa ccm wakiongopa hadharani? Hivi humo kichwani mwako upo sawasawa kweli au ni njaa tu zinakituma vibaya? Vi thread vyako vyote hapa jukwaani havinaga hoja zaidi ya upumbafu tu.
KUNA MSEMO USEMAO UKIWA MUONGO USIWE MSAHAULIFU.
Kuna wengine wataona labda siwapendi viongozi la hasha!
Ukiwa kiongozi unapaswa kuzungumza unayoishi.
MH. MBOWE MARA NYINGI AMEDAI UCHAGUZI WA 2014/15 CHADEMA ITAKUA IMEKOMAA KITAASISI NA ITAKUA INAANDAA VIONGOZI WAKE YENYEWE
FACTS/TRUTH METER
Katika uchaguzi serikali CHADEMA imesimamisha wagombea wake waliokimbia CCM baada ya kuchujwa.
MATOKEO
Wengu wamewekewa pingamizi wengine hawakuaga kabla ya kujiunga CHADEMA.Ukiacha kuna mgombea aliwekewa pingamizi hajui kusoma tofauti na kauli ya Mbowe ya kuandaa viongozi.
UDHAIFU
Sasa mh. Mbowe ameandika barua kwa waziri mkuu akilalalamika.What kind of a leader we have.
BAk hii style ya kupindisha hoja itaizika chadema.kila chadema ikilaumiwa mnarukia Epa au Escrow.badala ya kupangua hoja iliopo.Unataka kuniaminisha kwa kuwa kikwete ni muongo basi ni sahihi mbowe kuwa muongo
tatizo jf hawajadili uzi wala kujenga hoja ss ni hoja ya nguvu na kumjadili mtoa hoja badali ya hoja