Recent content by kinyanyamba

  1. K

    Official Windows 10 ISO files now available for download

    jamani za leo, mie niliinstall office 2016 kutoka 2013 mafaili yote yakawa hayafunguki. ilibidi niirudishe office 2013.nahitaji kutumia office 2016.nifanye vp wakuu, msaada
  2. K

    Kuna athari zozote za kiafya ninaweza kupata kwa kulala utupu

    naowajua wote mama zao hawapo hivo, si kweli.
  3. K

    Msaada: Nikichomeka flash, mafaili yote yanakuwa shortcuts

    usisahau kurudisha settings kama zilivokuwa mwanzo, yaani kucheck na uncheck boxes ulizobadilisha.
  4. K

    Msaada: Nikichomeka flash, mafaili yote yanakuwa shortcuts

    fungua flash yako, achana nayo.nenda start......control panel..........appearance and personalisation.......folder option......show hidden files &folders.........advanced settings....(check) the "show hidden files,folders or drives box.....(uncheck) next 3 boxes..... when warning box appears...
  5. K

    Nss 4 @ 22w cannalsat

    je za mpira(epl) zimo,hebu nipe idadi ya chanel zilizopo
  6. K

    Mwenye Office 2013 anisaidie

    Habari za leo wadau Naomba mwenye programu ya office 2013 anisaidie
  7. K

    Hivi nyie wasichana/wanawake mpoje?

    wanawake wanatupenda wanaume ambao hatutabiriki. ukiwa unatabirika, wanawake hawajisikii fresh.<br>lazima awe roho juu juu, ndo wanataka.wanapenda sapraiz.
  8. K

    Miguu ya wanawake

    teh teh teh,utamu kwenye miguu. du!
  9. K

    Nina hisia kali na mwanamke mwenzangu

    weeee !! dabodifu zako zitakutokea puani.nenda kapate ushauri nasaha
  10. K

    Mke wa kaka (shemeji) ananitaka kimapenzi

    Hapo umetusimulia tu ishu zako,wala huhitaji msaada wowote
  11. K

    Drive C inaonekana imejaa wakati programu zilizopo hazizidi GB 20,yenyewe ina zaidi ya GB 100

    Drive C imebadilika rangi imekuwa nyekundu wakati programu zilizopo. Hazina ujazo huo.nawezaje kuirudisha katika hali yake.
  12. K

    Remote ya QSAT receiver Inagoma kufanya kazi naomba msaada

    kama una simu yenye kamera,washa kamera halafu ielekezee hiyo remote yako ktk kamera (upande wa mbele wa remote,kwenye sensor)ukibonyeza button yeyote ya remote ukiona sensor inatoa mwanga ktk screen ya kamera ujue remote sio tatizo.kama haitoi mwanga basi tatizo ni remote= eleka...
  13. K

    Kifaa cha kutambua mabomu (made in Tanzania)

    kazi nzuri ila ujue sekunde 30 ni muda mrefu kwa jambazi
  14. K

    watanzania millioni 8 kufa kwa kansa ya damu chanzo simu za touch

    tutakufa lini?...halafu ulaya wangapi watakufa?
Back
Top Bottom