lakini mkuu kwa mujibu wa blog yako ukiacha pure electrical systems, electronic blueprint ulizoziweka 'umezi download' somewhere. Baada ya kusoma huu uzi nilitamani nione electronic blueprints ambazo umezi design mwenyewe lakini sijafanikiwa kuona hata moja pamoja na kuzunguka kwenye hio blog yako.
But all in all 'keep it up'
Sikumbuki kama nimewahi kuandika it is my Design wakati sio.
Kama ni design yangu hua naandika kama sio design yangu huwa naweka tu address ya blog yangu.Mfano
this is my design na nimeandika
Na hii si design yangu nimeandika tu adress ya blog yangu.
kama unaushahidi wa unacho kisema weka picha ya huo mchoro hapa niliyo andika design yangu wakati sio.
Hata hivyo I NEVER PUT MY COMPLEX DESIGN ON INTERNET hata wao wazungu hawaweki (Mfano ulisha wahi kuona Sumsung wamemwaga mifumo yao ya utengenezaji vifaa mtandaoni?) huwezi ukabuni kitu ukakiweka mtatandaoni!
Kwasababu kubuni mchoro wa kitu fulani inakugharimu muda pamoja na fedha.Mfano sakiti ya Mashine hiyo hapo juu toka mwezi wa pili nahangaika nayo bado gharama za vifaa vinavyo ungua mara kwa mara wakati wa design(and hope you know electronics parts are very cost full).Halafu sakiti imekubali nije niweke mtandaoni!!!!!!!!!!
Ntajitahidi kuwafundisha watu kuvua samaki na siyo kuwapa samaki cha msingi wahudhurie mafunzo.Siwezi kuja kuweka Layout ya designing yangu yeyote complex mtandaoni.
In other way thank you for your appreciation!
Hata hizo za wazungu unazo ziona mtandaoni are just for learning purpose most of them are projects some of them are not yet even improved.
Pia sijawahi kufundisha Designing mtandaoni hapo mwanzo.Nimetoa chapisho moja tu tarehe 9 August 20014 na kuchora mchoro wangu mwenyewe just for learning purpose Topic inahusu COMPARATORS!
Endelea kuhuzuria katika blog yangu uta-enjoy i need your support!