DSN
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 2,837
- 1,688
Ni kwa sura hii ya Mwanamke ndio unapata HAIBA ya WATANZANIA na siasa.Jenga picha ya mwanamke [Mtanzania Mwananchi] na Mwanaume [Mwanasiasa Mtanzania] heeee mbona kibumbi chana mura....ndio maana wachuzi huwa wanachua kuchesa na mindset zetu manake Watanzania kama ni HAIBA [Stereo Type] basi HATUELEWIKI [UNDEFINE] panapo stahiki kusema NO tunamaanisha YES na panapostahiki Tuseme NO tunasema YES.
When a woman says NO she mean YES..............
When a woman says NO she mean YES..............