Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,070
- 43,515
Nmejarbu mara 2 kuupgrade bila mafanikio, mara ya kwanza ilifka 92% mara ikapotea mara ya 2 ilifika 80% ikakata wakat bando ni unlimited sasa nashindwa chakufanya na nimeanza kufikiri kujarbu kupakua kupitia piratebay...mnanishauri nifanye nn wajuzi? Chief_mkwawa n@ wengine
Haijalishi windows imetoka wapi kaka, angalia windows yako ya sasa ni ipi kama ni pro au home then download windows 10 kama windows yako ya sasa. Mfano una windows 7 home premium basi download windows 10 home.
Ukishadownload tumia hio iso kama utaburn kwenye cd, utaeka kwwnye flash au ku mount then upgrade/clean install pc yako.
Kinacho matter sasa ni activation ya windows, kama ni windows 7 key zipo chini ya laptop na kama ni 8 zipo kwenye bios
Last edited by a moderator: