Haya sasa anza kunya kuanzia mwenge mpaka airport fara mkubwa wewe tena ninawasiwasi na wewe kuwa sio mtanzania halisi na hauna uzalendo kabisa , haya sasa uganda kapigwa tatu na cape verde wametoa suluhu na tuna gwenda huko kifua mbele , na unatakiwa kujua umoja ni nguvu na tukiamua tunaweza...
Sina uhakika na dini yako vilevile sikubalu kama wewe ni muislamu uliyekelewa katika maadili ya kumjua mwenye zimungu na mtume wake na ukaisoma dini ukaielewa , vilevile si shangai kwa unayoyasema kwani inavyooneka huna imani yoyote bali ni muislam jina au unaweza kuwa ni mamluki wa kuichafua...
Yaani kwa jinsi ibavyoonekana nyinyi watusi sio watu wazuri kabisa kwani mnaubaguzi wa hali ya juu sana yaani mnajiona ninyi ndio binaadamu wenzenu sio binaadamu na ninyi ndio chanzo cha fujo yote huko burundi na hata yaliyotokea rwanda cha msingi badilikeni fahamu binaadamu wote ni sawa na...
Wakumbushwe labda wanajifanya kusoma hawajui hata kutazama picha yaani hawa jamaa waupande wapili huwa wanachuki binafsi na uislamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo kwa wewe kutobolewa na vijana wa stend haukona taabu kabisa kweli nimeamini ndio maana mkaitwa wa matopeni yaani vyura wakubwa nyie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wewe unafahamu mchango wawatu wa kigoma katika historia ya nchi hii au unaamua kuropoka kijana wangu tena au unamfahamu hayati SHEIKH AMRI ABEID KARUTA ambaye kumbu kumbu yake ni uwanja wa Arusha amba ulipewa jina lake, jaribu kuuliza alikuwa ni nani na alitokea wapi , kwaheri?
Kwanza wewe kama wewe unaifahamu jiografia vizuri ya mkoa wakigoma na pia unafahamu kwamba ramani ya mkoa wa kigoma ilipimwa pamoja na mkoa wa nairobi na unafahamu wazee wa kigoma walikuwa ni wafanya biashara wakubwa kabla ya wazee wenu huko uliko wewe na unafahamu wazee wakigoma walikuwa...
Nimeamini kumbe wewe umekaririsha hauna uthibitisho wa unachoongea kama haujui historia ya mkoa huo uliza uambiwe kijana jiepushe na kukuruka kwa kuongea vitu vya kukaririshwa na usivyo vijua.
Hizo ni imani za kishirikina na ambazo ulizo nazo wewe ambazo ulizopandikizwa kwenye hiyo kichwa yako mbovu na unataka kutiambukiza na sisi badilika kijana tena inaonekana wewe ni wakigoma uliyepandikizwa hiyo imani ya kishirikina , embu nipe mfano mmoja ulio hai kwamba kuna kajenga kigoma...
Sawa hiyo kadi ya payoneer unawezaje kuweka pesa kwenye hiyo kadi au inatumika kwa kulipwa pesa tu kama kuna Company uliyo jiunga nayo ndiyo inakulipa kwa kutumia hiyo kadi? Yaani kwa bongo online business bado ni kizungumkuti mkubwa haswa kwenye withdraw process hapo ndio patamu labda kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.