Acha kuandika pumba hapa. Mie nimeulizia 'STATUS' ya jambo hilo ipoje kwa sasa? Au hujuwi maana ya kuulizia status ya jambo fulani eeh? It means kwamba uzi huu sio the 'first in queue' kuhusu PayPal Tanzania Payment Withdrawal. Watu weshaongea sana. Watu weshaandika sana hapa JF. Hadi kuna 'Paypal Tanzania Petitions' kadhaa zilisainiwa tangu mwaka juzi na mwaka jana ili kuwasilishwa huko BoT. So what else 'pendekezo' do you want me to ink down here?
Apart from 'pendekezo' kutoka kwa wananchi, ina maana hizo PhD 17 hapo BoT hawana uwezo on their own kufanya need assessment ya huduma hii hapa nchini as per economic point of view? wanasubiri kuwa fueled by pendekezo from wananchi? yaani hawaoni kabisa faida za huduma hii kwenye uchumi wa nchi? hehehee hili Taifa ndiyo maana limegota.
Now look at this scenario... kwa sasa hivi nchi karibia zote duniani zinatumia PayPal transaction services. Isipokuwa kwa Tanzania, the service is limited. PayPal Tanzania inaruhusu kufanya manunuzi tu basi. Thus, watanzania wenye paypal accounts wanatoa pesa kununua vitu online nje ya nchi.
Ila kuuza au kupokea malipo online, yaani kuingiza pesa za kigeni nchini Tanzania, PayPal inakataa coz BoT hawajaruhusu! Usitake kuniaminisha kwamba eti bado BoT au decision-makers hawajaona umuhimu wa huduma hii. Hell no! Rather it is just local mentality of our viongozi na kukosa global exposure. Sasa mpaka hapo huoni kuwa Tanzania bado ipo gizani?
Kama madai haya unayaona hayana msingi wowote eti kisa yapo kwenye muundo wa 'malalamiko', basi wewe pia akili zako bado zipo gizani, tena ni giza totoro! Grow up mdada. (My sincere apologies kama una umri sawa na mama yangu). FYI... kwenye Advocacy initiative, kunakuwa na several interventions & strategies to be taken on board.
Among other things, tatizo la nchi hii ni kuhitajika kwa the so called 'political will' kwenye kila jambo. Wasomi wetu with full mandate and professionalism wanasubiria mpaka wanasiana waanze kusema majukwaani ndipo wachukue hatua. Too bad wanasiasa wenyewe tunaosubiria waliamshe dude, ndiyo hao ambao the majority ni elimu ya 'KKK'... wazee wa ndiyoooooooooooo na kugonga meza! How comes waweze kuwa updated na kufanya follow-up on global stuffs like this. Otherwise mpaka Mange aseme. Teh teh teh.
Dunia ya sasa ni kama kijiji. Lazima tuende sambamba na global avenues za kiuchumi as they pop up.
-Kaveli-