Nyie Marais wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwanini mnakilea sana hiki ' Kirusi ' kwa Amani Rais Nkuruzinza wa Burundi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,871
Kama kuna Kitu ambacho Marais wa Afrika Mashariki wananiudhi na kunikera ni Kitendo cha kama vile wanamlea au wanamdekeza sana Rais wa Burundi Nkuruzinza kwa matendo yake anayofanya kila Siku ambayo yanaharibu pia taswira nzima ya Afrika Mashariki.

Rais Nkuruzinza alianza Kuishutumu nchi ya Rwanda hajakaa sawa tena akaanza Kuwalaumu Wazungu hasa Wabelgiji na Wafaransa kuwa wanaipendelea Rwanda na kuionea Burundi na hivi karibuni tena bila hata ya Aibu amelishutumu Shirika la Kuhudumia Wakimbizi ambao kwa bahati nzuri wengi wanatokea nchini Kwake akisema kwamba Shirika hilo limekuwa likiwapa Silaha na Sare Waasi wa Burundi ili wampindue.

Hivi nyie hamuoni kwamba haya matendo yote ya Rais wa Burundi Nkuruzinza yanaweza hadi Kuziathiri nchi zingine na kusababisha wana Afrika Mashariki wote sasa tuonekane ' Wapuuzi ' kama Waburundi na Rais wao huyo ' Kirusi ' kwa Amani? Kwanini huyu Nkuruzinza hajifunzi kwa nchi jirani yake tu ya Rwanda ambayo kila uchao inapiga hatua za Kimaendeleo na haina ' Bifu ' na Taifa lolote lile duniani?

Tafadhalini Marais wa Afrika Mashariki kama mnashindwa Kumfundisha ' adabu ' huyu Rais Mwenzenu Nkuruzinza basi Sisi Wanyarwanda hasa wa Kabila letu la Tutsi ' lililobarikiwa ' na Mwenyezi Mungu kama vile ' alivyowabariki ' Wayahudi tutamchukulia hatua kwa kumtoa hapo alipo ( Madarakani ) na kumuweka Rais mpya na Kipenzi cha Waburundi wote ambaye atakuwa anatokea Kabila la Tutsi ili aiwahishie Burundi Maendeleo kuliko huyu Mhutu anayewacheleweshea na kuwasumbua pia.

Nawasilisha.
 
Burundi kwa ujumla Haina amani

Ila ukilinganisha Na vipindi vya Nyuma hivi sasa Burundi Ni 'Kisiwa Cha amani'
 
Kiusalama Nkurunzinza anatufaa sana angalau anamfanya yule jamaa mwenye Pua ndefu kuwa macho, wengine tunapumzika , Kagame ni katili anahitaji majirani kama Nkurunzinza ili kumpunguza makali
 
Kama kuna Kitu ambacho Marais wa Afrika Mashariki wananiudhi na kunikera ni Kitendo cha kama vile wanamlea au wanamdekeza sana Rais wa Burundi Nkuruzinza kwa matendo yake anayofanya kila Siku ambayo yanaharibu pia taswira nzima ya Afrika Mashariki.

Rais Nkuruzinza alianza Kuishutumu nchi ya Rwanda hajakaa sawa tena akaanza Kuwalaumu Wazungu hasa Wabelgiji na Wafaransa kuwa wanaipendelea Rwanda na kuionea Burundi na hivi karibuni tena bila hata ya Aibu amelishutumu Shirika la Kuhudumia Wakimbizi ambao kwa bahati nzuri wengi wanatokea nchini Kwake akisema kwamba Shirika hilo limekuwa likiwapa Silaha na Sare Waasi wa Burundi ili wampindue.

Hivi nyie hamuoni kwamba haya matendo yote ya Rais wa Burundi Nkuruzinza yanaweza hadi Kuziathiri nchi zingine na kusababisha wana Afrika Mashariki wote sasa tuonekane ' Wapuuzi ' kama Waburundi na Rais wao huyo ' Kirusi ' kwa Amani? Kwanini huyu Nkuruzinza hajifunzi kwa nchi jirani yake tu ya Rwanda ambayo kila uchao inapiga hatua za Kimaendeleo na haina ' Bifu ' na Taifa lolote lile duniani?

Tafadhalini Marais wa Afrika Mashariki kama mnashindwa Kumfundisha ' adabu ' huyu Rais Mwenzenu Nkuruzinza basi Sisi Wanyarwanda hasa wa Kabila letu la Tutsi ' lililobarikiwa ' na Mwenyezi Mungu kama vile ' alivyowabariki ' Wayahudi tutamchukulia hatua kwa kumtoa hapo alipo ( Madarakani ) na kumuweka Rais mpya na Kipenzi cha Waburundi wote ambaye atakuwa anatokea Kabila la Tutsi ili aiwahishie Burundi Maendeleo kuliko huyu Mhutu anayewacheleweshea na kuwasumbua pia.

Nawasilisha.
Sijui nani mwasisi wa huu ubaguzi wa kikabila kwa nchi za Rwanda na Burundi? Nadhani mahali alipo anajuta sana. Lakini inayoonekana hata wewe huna tofauti na Nkulunzinza zaidi ya kutofautishwa na makabila Yenu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilushawahi kusema humu ndani kwamba nkurunziza Ni kimeo , Hana kitu alichofanya Burundi

Nkurunziza must go ..!!

Tena aondoke upesi sana vinginevyo asije Kutulaumu Watutsi kutoka nchini Rwanda.
 
Usifikirie NKHURUNZINZA ni kichaa. Burundi is a SOUVERAIN state ina vyombo vyote vya ulinzi na usalama.

NI juzi tu Tanzania tumeteketeza shehena ya sare za jeshi zilizoingizwa nchini na hao UNHCR na kukutwa ktk kambi moja ya wakimbizi. Mleta post unalijua hili?

Kwa kuwa umekiri Ututsi wako nimegundua unaleta chuki zenu ambazo Watanzania hazituhusu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna Kitu ambacho Marais wa Afrika Mashariki wananiudhi na kunikera ni Kitendo cha kama vile wanamlea au wanamdekeza sana Rais wa Burundi Nkuruzinza kwa matendo yake anayofanya kila Siku ambayo yanaharibu pia taswira nzima ya Afrika Mashariki.

Rais Nkuruzinza alianza Kuishutumu nchi ya Rwanda hajakaa sawa tena akaanza Kuwalaumu Wazungu hasa Wabelgiji na Wafaransa kuwa wanaipendelea Rwanda na kuionea Burundi na hivi karibuni tena bila hata ya Aibu amelishutumu Shirika la Kuhudumia Wakimbizi ambao kwa bahati nzuri wengi wanatokea nchini Kwake akisema kwamba Shirika hilo limekuwa likiwapa Silaha na Sare Waasi wa Burundi ili wampindue.

Hivi nyie hamuoni kwamba haya matendo yote ya Rais wa Burundi Nkuruzinza yanaweza hadi Kuziathiri nchi zingine na kusababisha wana Afrika Mashariki wote sasa tuonekane ' Wapuuzi ' kama Waburundi na Rais wao huyo ' Kirusi ' kwa Amani? Kwanini huyu Nkuruzinza hajifunzi kwa nchi jirani yake tu ya Rwanda ambayo kila uchao inapiga hatua za Kimaendeleo na haina ' Bifu ' na Taifa lolote lile duniani?

Tafadhalini Marais wa Afrika Mashariki kama mnashindwa Kumfundisha ' adabu ' huyu Rais Mwenzenu Nkuruzinza basi Sisi Wanyarwanda hasa wa Kabila letu la Tutsi ' lililobarikiwa ' na Mwenyezi Mungu kama vile ' alivyowabariki ' Wayahudi tutamchukulia hatua kwa kumtoa hapo alipo ( Madarakani ) na kumuweka Rais mpya na Kipenzi cha Waburundi wote ambaye atakuwa anatokea Kabila la Tutsi ili aiwahishie Burundi Maendeleo kuliko huyu Mhutu anayewacheleweshea na kuwasumbua pia.

Nawasilisha.
Nafuatilia hoja zako na una jua kujenga hoja vizuri na kupa sifa , ila kwenye hili la Burundi una weza kuwa upo sahihi ila kosa ulisha onyesha upande upi upo hukuka katikati
 
Jirani yako akiwa hayuko salama katika nyanja mbali mbali kama afya,kiuchumi,kijamii nk usijiesabie wewe uliojirani yake utakaa salama.Uenda na wewe ukaambukizwa virusi.Nchi za Africa Mashariki ziige mfano wa nchi za Africa Magharibi(WestAfrica) Yahya Gjamaa alipotaka kuwadhulumu wananchi wake kwa kupora ushindi wa kura viongozi wa nchi hizo hawakumu support wakamurudisha kwenye right truck.
 
Yaani kwa jinsi ibavyoonekana nyinyi watusi sio watu wazuri kabisa kwani mnaubaguzi wa hali ya juu sana yaani mnajiona ninyi ndio binaadamu wenzenu sio binaadamu na ninyi ndio chanzo cha fujo yote huko burundi na hata yaliyotokea rwanda cha msingi badilikeni fahamu binaadamu wote ni sawa na hakuna aliyebora zaidi ya mwingine, yaani huku bongo tunawashangaa sana yaani makabila mawili tu mnashindwa kuelewans na kuwa kitu kimoja acheni ubinafsi nyinyi badilikeni kabisa na mfahamu kwa sasa hi nijumuiya ya zaid ta nchi tano jichanganyeni muona watu wanavyoishi na wanavyopenda. NIMTAZAMO WANGU TU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom