Recent content by kintynku

  1. kintynku

    Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

    Ina maana ameshajua kuwa umemfungulia uzi? Kimbilia kanisani kaombewa ukate connection ya pepo la utambuzi.
  2. kintynku

    Familia ya GSM ilivyotembea kwa magoti korido za Ikulu kuomba Hayati Magufuli asiwafunge

    Mimi ninachojua GSM ni mfadhiri na mdhamini wa club yangu pendwa , hayo mengine hayanihusu, Kila mtanzani hata mleta mada ni mwizi tu sema hajapata nafasi ya kuiba. Alale salama JPM. Nchi ilipofikia hata ukiwa mzalendo vipi utaishia kuumizwa wewe na familia yako na hao wajilia keki ya Taifa...
  3. kintynku

    Je, mtu huyu nimfungulie kesi ya aina gani?

    Unajua kwanini nimekwambia vile? Kwasabb huna akili kabsa jambo jepesi kama hili unashindwaje kuchukua hatua? Mali za mkeo ni zako na watoto wenu lkn wewe upo tu unatembea umebeba kichwa kama mzigo. Kama watoto unaishi nao maana yake hata Kama ungekuwa huna ndoa na huyo marehefu bado Mali...
  4. kintynku

    Je, mtu huyu nimfungulie kesi ya aina gani?

    Nenda usiku na dumu la lita 20 ya petrol usisahau na kiberiti, tia moto halafu sepa zako mkose wote hapo kesi kwishaaaaa.
  5. kintynku

    Yametimia, Mahakama Kuu yaamuru Paul Makonda ashtakiwe

    Hata hivyo watakuwa wamechelewa sana kumkamata
  6. kintynku

    Nilivyojenga kiutani utani. Anza na ulicho nacho

    We jamaa inaonekana unapenda sana kula , yaani chumba chako umeweka karibu kabsa na jikoni
  7. kintynku

    Waziri Mkuu Mpya Ajaye...??

    Wewe unaweza
  8. kintynku

    Mchungaji awaogesha wanawake wakiwa watupu ili kuwapa 'upako wa ndoa'

    Ujinga uliopitiliza kwa wanao kubali kufanyiwa hivyo
  9. kintynku

    Press ya Gwajima kujirudia yale ya Nape?

    Gwaji na Job wanabifu za mda mrefu , yaliyomkuta Job yameufurahisha sana moyo wa Gwaji
  10. kintynku

    Mawaziri wako kimya kwasababu hawajui Mama anataka nini

    Shida ya Mama ni urais tena 2025
  11. kintynku

    Kikao cha Kamati zote za Bunge kilichokuwa kiongozwe na Spika Job Ndugai leo chaahirishwa

    Watanzania mnachojuwa ni majungu umbwa, husuda na ufukunyungu.
Back
Top Bottom