Mchungaji awaogesha wanawake wakiwa watupu ili kuwapa 'upako wa ndoa'

Hivi hizi huwa ni imani gani?
Maana sio mara ya kwanza kuona watu kama hawa
Mara wengine wanakanyagwa wengine wanaambiwa wavue nguo na wengine kulishwa majani na wengine kunywa petrol huko South Africa

Yaani kuna watu wana imani za ajabu dunia hii especially Africa
Tatitizo ni malezi,ingekuwa wazazi,toka watoto wako wadogo,wanawalea na kuwapa muongozo wa maisha,wasingejiingiza kwenye mambo yasio na maadili,wangejitambua.Wakati wa sasa watoto wengi,wanakuwa kwenye shule za bweni,bila malezi sahihi ya wazazi.
 
Ukiona mkeo anakwenda na kumshabikia
1. Gwajima
2. Mwamposa
3. Mzee wà upako
4. Mwingira
5. Masanja
Na wengine Kama hao manabii feki.
Tafuta mke wa pili, ukiona Ni gharama Basi tafuta mchepuko wa kukuliwaza maana huyo sio mke Tena Bali Ni msukule wa nabii.
Watakuelewa wachache sana kwa hili mkuu but you're right 100%
 
Sasa hivi hao kina mwamposa wanavuna sana wanawake wa kiislam. Sikiliza shuhuda zao wengi ni kina ashura, mwajuma nk
Ni usanii tu na biashara Muislam hata awe dhaifu namna gani lkn katika huwezi kumchezea katika IMANI wale ni misukuke yenu wenyewe na si Wailam
Uislam ni Habar nyengine
 
Tatitizo ni malezi,ingekuwa wazazi,toka watoto wako wadogo,wanawalea na kuwapa muongozo wa maisha,wasingejiingiza kwenye mambo yasio na maadili,wangejitambua.Wakati wa sasa watoto wengi,wanakuwa kwenye shule za bweni,bila malezi sahihi ya wazazi.

Halafu unakuta wengi wao ni wanawake
Wanashawishika haraka sana
 
Ukiona mkeo anakwenda na kumshabikia
1. Gwajima
2. Mwamposa
3. Mzee wà upako
4. Mwingira
5. Masanja
Na wengine Kama hao manabii feki.
Tafuta mke wa pili, ukiona Ni gharama Basi tafuta mchepuko wa kukuliwaza maana huyo sio mke Tena Bali Ni msukule wa nabii.

Hata wao umewapa hadhi bure ya unabii hawastahili kuitwa hivyo

Ni biashara ya kitapeli sana na watu wanawapa hela kuwatajirisha wao

Yaani asubuhi anawapita masikini kibao ila anapeleka hela kwa tajiri kama sio kurogwa ni nini
 
Usisahau hata kwa kina Kalumanzira wao ndio Wateja Wakuu.

Siju shida ni nini kwa hawa Wenza wetu.
Shida ni kwamba wanajiona ni viumbe dhaifu hivyo wakikutana na changamoto hawajisumbui kuumiza vichwa vyao bali hukimbilia kutafuta "back up". Bahati mbaya wanakutana na wahuni kama hawa.
 
Ngoja ngoja ngoja,na Mimi nafungua kanisa soon nipige Hela na kuchakata mbususu VIP,
Wanajamvi mtaniunga mkono
Mwenyekiti wa vijana atakua
#Zero IQ
Katibu #Mbususu Enthusias
Members wote wa JF mtakaribishwa
Wafia Dini hatutawataka pale ni Sala na Bata only
Nakuhubiria uende Mbinguni ila mimi Sina mpango wa kwenda huko ni kama mpiga debe tu na sipandi gari!
Nadhani nimeeleweka!
Unaonekana ni mtu uliyekata tamaa kabisa kuhusiana na mambo ya kiroho kwa ujumla. Hakuna unaloliamini. Umeamua kuishi utakavyo wewe kama wewe.
 
Unaonekana ni mtu uliyekata tamaa kabisa kuhusiana na mambo ya kiroho kwa ujumla. Hakuna unaloliamini. Umeamua kuishi utakavyo wewe kama wewe.
Kwani wewe unaishi Kwa matakwa ya wengine?
Kwanza nikujulishe tu sijakata tamaa Kwa lolote Tena nipo imara kuliko wakati wowote ule na nasimamia nachokiamini kama wewe umeamua kua under control is up to you Kila mtu ana namna na style yake ya kusurvive hapa duniani!
Cool!
 
Hivi hizi huwa ni imani gani?
Maana sio mara ya kwanza kuona watu kama hawa
Mara wengine wanakanyagwa wengine wanaambiwa wavue nguo na wengine kulishwa majani na wengine kunywa petrol huko South Africa

Yaani kuna watu wana imani za ajabu dunia hii especially Africa
Sio imani ni matokeo ya ujinga na umaskini.

Hukumbuki waliojiita wasomi.kutuma ndege kwenda kuleta nyungu sasa wameondoka Licha ya nyungu zao.
 
Back
Top Bottom