Nyie chadema mnatuchanganya sana humu! Wote mmekuwa walevi hata hamjijui, mie mlianza kunivutavuta kwa harakati zenu ila sasa mnaniboa kabisa, hamuwezi kukabidhiwa nchi kwa utaratibu huu, your too immature, kipimo changu ni haya ma comment yenu ya kutukanana humu na kujibu matusi badala ya hoja...
Nyie chadema mnatuchanganya sana humu! Wote mmekuwa walevi hata hamjijui, mie mlianza kunivutavuta kwa harakati zenu ila sasa mnaniboa kabisa, hamuwezi kukabidhiwa nchi kwa utaratibu huu, your too immature, kipimo changu ni haya ma comment yenu ya kutukanana humu na kujibu matusi badala ya hoja...
Kama alivyokusahuri Tai wa Afrika wa Mashariki hapo juu, kwakuwa hujui utakuja kuifanyia kazi ipi, soma unayoweza ili kuitengeneza GPA yako kwa ajili ya masters. Kusoma hizo pekee haziwezi kukusaidia kupata ajira, mie nilisoma labour na natural resources. mojawapo inanisaidia sana
Haya mambo yamelelewa na serikali tangu uchaguzi wa mwaka 2010,wakati makampuni ya simu yalipohusika moja kwa moja na kutuma jumbe zenye vitisho kuwa wananchi wasichague upinzani, leo hii ni unafiki kujaribu kuzuia jambo walilolifumbia macho wenyewe tangu mwanzo
Umenikumbusha mbali sana chama letu kubwa la pomerini enzi za miaka ya 1990s chipsi za kwa dononda ,kuoga na kufua maporoko , na mwalimu wetu ngogo kuamka saa 11, kweli kile kilikuwa kama kituo cha jkt
Ina maana huyu mama alijua kuwa huyu kijana atakuja kudai fedha zake??? Hayo mauaji yalitokea saa ngapi??? Majibu ya maswali haya yanaweza kunipa mwanga kidogo
Ishomire anasema tu hajaijua vizuri wizara ile ina backward and forward linkages kibao..ni ngumu kama nini...alikwenda Diallo pale wakasema hana njaa ataiweza akajaribu kumng'oa Severe Mkurugenzi wa Wanyamapori, akaambulia kung'olewa yeye, akaja Maghembe akajaribu kupandisha royalty rates za...
Huyu jamaa amemaliza misitu ya shengena, si msafi na anajijua ndiyo maana anatafuta sympathy humu, alikuwa halmashauri ya babati kule aseme kwa nini alihamishwa.....vyombo vya sheria vipo, mwajiri wako ni DED, aliyekusimamisha Waziri wa Maliasili siyo wa TAMISEMI, kama wewe msafi kwa nini DED...
Acha ujeuri, wewe ulikopa kwa makubaliano unatakiwa kulipa. kukataa au kufanya ujanjaujanja ili usirudishe kodi zetu ni sawa tu na hao wezi, huwezi kusawazisha kosa kwa kosa jingine, ndo kasumba yetu tulio wengi tunapenda sana kunyooshea vidole wengine na kusahau wajibu wetu. Sheria inakutaka...
Mkuu sana kwa hayo yaliyokukuta, nafikiri kosa ni kuwaita kwenye ingterview, ila hao jamaa mfumo wao ni huo huo hawaajiri kwa transcript hivyo hiyo huwa inawaangusha sana wahitimu wa UDSM, ni tangu zamani kwa ajira za serikali kuu zinazokuwa coordinated na utumishi..niliwahi kukosa kazi hivihivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.