Pilimi
Member
- Mar 23, 2009
- 67
- 14
Kwa hili Tanesco kisarawe hatuwezi kulivumilia,kwani nimelipia kuunganishiwa umeme nyumbani kwangu majohe huu mwezi wa pili toka nimelipia,sihitaji nguzo kwangu,lakini mpaka leo hii ni siku 60 za kazi zimepita toka nimelipia.Kila ukienda unaambiwa vifaa bado hatujafuata mkoani.cha ajabu wiki iliyopita walisema vifaa vyote kwa waliolipia mwezi wa nne vimeletwa toka mkoani na wiki hii manager akatuhakikishia kuwa tufungiwa umeme.Cha ajabu kila ukipigia simu manager anasema utafungiwa subiri wiki bado hajaisha.leo nimempigia manager anasema kuna baadhi ya vifaa hawakupewa mkoani.ndio wanafuata leo.Sasa siku zote manager asema vifaa vipo,iweje leo aseme vingine hawakuchuwa?Wana JF nawakilisha.