IGP MNAMWOGOPA AFISA Vicky Mwamkuzi ....

IGP MNAMWOGOPA AFISA Vicky Mwamkuzi ....

ishu ilikuwa hivi kijana onesmo alikuwa akidai hela zake muda mrefu mpk mauti inamfika ilikuwa jioni baada ya kmaliza shughuli zake na kwenda kudai huo ujira wake...kwa huyo mama...alipofika ndipo alipoitiwa mwizi lakni hakuna jirani hata mmoja aliempiga kama mwizi baada ya kuonekana kulikuwa na watu spesho waliompa kipigo...huyo ana nyumba ya ghorofa...dogo alikmbia ghorofani na kujifungia lakini walibomoa na kumpiga mpk mauti na ukumbuke kuwa huyo kijana kafanya kazi kwa huyo mama muda mrefu so wanafahamiana...na huyo mama hana watoto wala mume....

Zubedayo ebu funguka zaidi, enhee, kwa hiyo wakati huyu kijana anafanya kazi kwa huyu mama walikuwa wanaishi hapo kwenye hilo ghorofa wao wawili tu????? Kuna mengi yako nyuma ya pazia, labda kuuawa kwake kuna mengi nyuma yake, Zubedayo fafanua ......
 
Ulivyojitolea inatosha watakuua bure hao hakuna Mlokole hapo njia fupi sasa peleka barua kwa IGP na DCI halafu kwa msisitizo nakala wape Said Mwema na ingine mpe Manumba hapo umemsaidua marehemu Onesmo sana
 
Huy ndio yule dogo wa Makoka?Alikuwa akiuza duka la jumla la vinywaji huku Makoka.Tumepitishiwa mchango kijiweni kumchangia dogo asafirishwe akazikwe kwao.
Kwani si nilisikia kuwa yule mama alikamatwa,au kaachiwa tena..!

mama hajakamatwa wala hata kuhojiwa....
 
inaonekana ulikuwepo au ulipanga pamoja na marehemu kwenda sehemu hiyo la tukio, maana unataarifa nyingi za kumuhusu marehemu, aliyekwenda kudai chake , kwa mwajiri wake mwaka moja na miezi saba baada ya kudhulumiwa mishahara yake au mshahara wake. Sasa sijui alihusisha mamlaka yoyote katika kudai chake mfano mahakama ya kazi, au polisi ? au hata kuandika barua kwa mtuhumiwa kwamba uliponifukuza kazi hukunilipa mishahara yangu au mshahara wangu.
Maana naona Polisi wanashindwa kuendelea vizuri na upelelezi wao kwa kukosa watu kama wewe.
Wewe nenda tu pale kwa IGP ofisini kwake na vielelezo uone kama IGP ana muogopa huyo Afisa wa Serikali.

Hao unasema wanakosa watu ni uongo..polisi wana wapelelezi wao..wamewasomesha...wanawalipa mishahara na posho zao...wao wana teknik za kipelelezi.Na taarifa wanayo...ila kwasabb mama ana mihela ndio mana hawamchukulii hatua kama wanao iba kuku,simu,baiskeli etc......
kila kitu malipo hapa duniani.
Mzee wao wanajua kazi zao....naona wewe upo hapa kutetea huu unyama wa huyo mama ndugu yako sasa wapelekee taarifa hao waliokutuma.
OVER
 
Zubedayo ebu funguka zaidi, enhee, kwa hiyo wakati huyu kijana anafanya kazi kwa huyu mama walikuwa wanaishi hapo kwenye hilo ghorofa wao wawili tu????? Kuna mengi yako nyuma ya pazia, labda kuuawa kwake kuna mengi nyuma yake, Zubedayo fafanua ......

Mama mdogo kwa taarifa ndo hizo...walikuwa wanakaa wawili hayo mengine ya nyuma ya pazia mi sijui....ila isue ndo iko hivyo
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania,Nauliza Huyu Mama Vicky ambaye ni mfanyakazi wa wizara ya fedha tarehe 26 mwezi uliopita Alikodisha vijana na kumpiga na kumuua kijana aliejulikana kwa jina la ONESMO MYUKA awali alikuwa mtumishi wake wa kazi ndani,baada ya kuacha kazi kwake kama mwaka 1 na miezi 7 aliondoshwa bila kulipwa ujira wake.
Tarehe 25 usiku alienda kudai fedha zake mbezi beach na ndipo huyu mama na Watu wake walimshambulia mpaka kifo na mpaka sasa hajakamatwa wala vijana wake aliowakodi.Na yeye kwa kupoteza ushaidi akachukua kisu na kujichuna chuna mkononi,Mbali ya hapo huyu mama Ni mlokole tena Shemasi wa Kanisa la PAG KINONDONI.
Kuna watu hapa Tz wanaogopeka namna hii.
IGP mnamwogopa Huyo Mama.

Ndugu Zubedayo, nchi hii ina double standard sana, lakini usikate tamaa, kama una uhakika na unachokisema tafadhari nenda kwa watu wa human rights (LHR?) watakusaidia. Au unaweza kuwashauri ndugu wa marehemu wawaone hao watu watawasaidia.

That is only I can advise you.
 
Mhusika hajakamtwa then upepelezi unaendelea....
 
Mhusika hajakamtwa then upepelezi unaendelea....

Mbona na wewe huelewi nimekushauri kama unaona Polisi hawatebndi haki nenda ukawaone watu wa LHR? au Msaada wa sheria wa chuo kikuu, hawa hawadai malipo watakusaidia bure? Wewe umekazana na polisi kumkamata huyo mama? Whats up?
 
umeshaeleweka kijana vipi.....
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania,Nauliza Huyu Mama Vicky ambaye ni mfanyakazi wa wizara ya fedha tarehe 26 mwezi uliopita Alikodisha vijana na kumpiga na kumuua kijana aliejulikana kwa jina la ONESMO MYUKA awali alikuwa mtumishi wake wa kazi ndani,baada ya kuacha kazi kwake kama mwaka 1 na miezi 7 aliondoshwa bila kulipwa ujira wake.
Tarehe 25 usiku alienda kudai fedha zake mbezi beach na ndipo huyu mama na Watu wake walimshambulia mpaka kifo na mpaka sasa hajakamatwa wala vijana wake aliowakodi.Na yeye kwa kupoteza ushaidi akachukua kisu na kujichuna chuna mkononi,Mbali ya hapo huyu mama Ni mlokole tena Shemasi wa Kanisa la PAG KINONDONI.
Kuna watu hapa Tz wanaogopeka namna hii.
IGP mnamwogopa Huyo Mama.

Zubedayo acha uongo. Huyu Mama ni jirani yangu na hajaua mtu yeyote. Ni kweli tukio la kifo lilitokea nyumbani kwake. Mimi mwenyewe binafsi nilisikitishwa sana na kifo cha kijana Onesmo, kwa kuwa yeye ni binadamu na alistahili kuishi kama wengine. Ni kweli pia kuwa huyu kijana alikuwa mfanyakazi wa huyu mama kabla ya kuacha kazi. Kama alikuwa anamdai huyu mama mshahara, wao wenyewe ndio wanaojua ukweli wa jambo hili mimi siwezi kubisha. Lakini, ukweli ni kwamba siku ya tukio kijana Onesmo alikwenda nyumbani kwa huyu mama kwa nia mbaya ndiyo maana alikuwa amebeba silaha (kisu). Alipofanikiwa kuingia ndani, alianza kumshambulia huyu mama na katika kujihami baada ya kuzidiwa, Mama wa watu alipiga kelele za mwizi. Kama mnavyojua Tanzania sheria ziko mikononi mwa Raia, hivyo walijitokeza na kumpiga kijana wa watu mpaka akafa. Ieleweke kuwa, kama huyu mama hakupata msaada wa raia basi angeuwawa yeye na huyo kijana.
Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema peponi.
 
siyo uongo ni kweli kabisa mimi nasali na dada wa marehemu. Huyo kijana alifanya kwa huyo mama muda mrefu siku moja huyo mama akamwambia nimepigiwa simu uende kwenu haraka mama yako ni mgonjwa akaenda ubungo akampakia basi akaenda kwao njombe kufika akakuta wazazi wake ni wazima akaamua kurudi alipofika akamwambia nimekutafutia sehemu nyingine akampeleka kwa mtu mwingine, ila alimuhaidia atampa hela zake akawa anamzungusha ila siku hiyo akamwambia uje kesho uchukue hela zako alipofika akaingia ndani yule mama akapiga kelele za mwizi, wakaja watu na mawe nondo wakamuua, polisi wanasema tunaogopa kupoteza vibarua vyetu maana analidwa na wakubwa, mimi nilisafiri na huyo dada wa marehemu hadi njombe na wakazika tulipofika tu huko wazee wa huko wanasema sijui watafanya nini cha kimila kama kweli alitaka kumuua huyo mama wafe wao ukoo mzima ila kama huyo mama alimsingizia afe yeye na ukoo wake wote. sisi tuliondoka sijui huko nini kinaendelea, labda dada mtu akirudi atatuambia
 
Kuna vijana wako polisi wanaisaidia polisi wanasema wao waliambiwa na bosi wao kuna kazi mahali nendeni ndo wakakuta hiyo kazi ya kumshambulia mwazi that means walikodiwa.
 
Kuna vijana wako polisi wanaisaidia polisi wanasema wao waliambiwa na bosi wao kuna kazi mahali nendeni ndo wakakuta hiyo kazi ya kumshambulia mwazi that means walikodiwa.
Ina maana huyu mama alijua kuwa huyu kijana atakuja kudai fedha zake??? Hayo mauaji yalitokea saa ngapi??? Majibu ya maswali haya yanaweza kunipa mwanga kidogo
 
Hao unasema wanakosa watu ni uongo..polisi wana wapelelezi wao..wamewasomesha...wanawalipa mishahara na posho zao...wao wana teknik za kipelelezi.Na taarifa wanayo...ila kwasabb mama ana mihela ndio mana hawamchukulii hatua kama wanao iba kuku,simu,baiskeli etc......
kila kitu malipo hapa duniani.
Mzee wao wanajua kazi zao....naona wewe upo hapa kutetea huu unyama wa huyo mama ndugu yako sasa wapelekee taarifa hao waliokutuma.
OVER
Unajua wewe unaongelea kwa upande moja ama kwa kusikia au kwa kuwa unashahidi mwingineo, ambo nimekwambia kama unao kama wakutolipwa mishara, kama siku hiyo aliitwa achukue hela ndipo akavamiwa na hao waliokodiwa uupeleke huko kwa IGP,
Lakini mapungufu ninayo yaona upande wako ni kuongelea kama rafiki au ndugu ya marehemu, na ndio maana unasema wazee wanaenda kuomba miungu yao.
pili ni jinsi tukio lenyewe lilivyo tokea baada ya marehu kuacha kazi au kuachishwa mwaka moja na miezi kadhaa, sasa cha kujiuliza kama alikuwa anadai mishahara au mshahara kwanini hakwenda polisi? au kwa serikali za mitaa au mahakama ya kazi? kwanini alijichukulia ujasiri wa kwenda mwenyewe tena usiku kama ulivyo andika wewe mwenyewe.
tatu siku hizi kuna mawasiliano ya simu, basi polisi wana weza kupitia mawasiliano yao kuona kama aliitwa kuchukua hizo pesa/mshahara na kadhalika hata tukiongezea kama kulikuwa na uhusiano wa zaidi. na siku hizi kila mtu ana simu, hivyo nategemea nduguyo alikuwa nayo.
ama sivyo rafiki yako au nduguyo inaonekana alipapenda saana kwa huyo mwajiri ndio maana roho ilimuuma saana kuachishwa na ndio maana akarudi kwa hiyo njia ya kudai chake? na ndio maana ukipitia maelezo ya Joyceline ana sema mwajiri alimrudisha kwao kwa kumwambia anatakiwa huko, alivyo rudo mwajiri alimuhaidi atamtafutia kazi pengine, basi utaona ni jinsi gani mwajiri hakuwa na imani nae, na hivyo alikuwa anatafuta njia za kumuondoa, kumbe rafiki yako au nduguyo hapo aliona ni kama katolewa kwenye machimbo ya dhahabu.
 
Unajua ndugu zangu haya mambo ya kusikipa pande mbili ambazo nazo zimesikia sehemu kuna hatari ya ku suffex au ku prefex maneno,mimi nashaur kwamba kwakuwa jambo lenyewe ni nzito bas tuachie vyombo vya usalama vifanye kazi yake.maana tukisema mama anahela paka akakod vijana kwanin asitumie izo pesa kulipa den?pia hata kama inavyodaiwa anahonga ni dhair si mbaili angemlipa.lakin pia kama kwel alimtafutia kaz huon alikuwa na roho nzur tu,je kuna uhakika wa ilo den?cid watafanya kaz japo nao sikusikuiz kwakuwa kipato chao finyu maadili yamepungua
 
mtoa mada nae hana source ya ukwl we mtu ajekudai ela usiku na usiku uo uo mtuhumiwa akodi vijana tena ilkua ni usiku wa manane sasa cjui apo kakodish vip..
Kama huna details za ukwel nyamaza kabisa.
Uyo mama vicky aliingiliwa na uyo houseboy wke usiku na kumewka kwny chumba cha kusomea akimtesa kwa mda mrefu, ndo alimkata kidole kimoja na kumkata kata mikono.
Hiyo nyumba anaisha na mdgo ake na rafik wa mdgo ake ambye ndo altoka na kupga kelele na watu kuja kutoa msaada kwa kupitia njia ya juu ya dali ya nyumba na alipigiwa kwa kuchukuliwa kama jambaz lakin co kama unavyosema ww..
We umtu ajikate kate mpka vidole vishindwi kufanyakaz kisa house boy..
Mbona wizi alikua anaufanya house kwa uyo mama ujausma na je kumtoa polis kwa zaman apo mbona ujasma wee wasma eti kamuua kwa kukodi saa ngap ao vijana.
Kua na uhakika na unacho kisema sio umesma magazeti ya udaku ndo waja na habar zako.
 
Zubedayo acha uongo. Huyu Mama ni jirani yangu na hajaua mtu yeyote. Ni kweli tukio la kifo lilitokea nyumbani kwake. Mimi mwenyewe binafsi nilisikitishwa sana na kifo cha kijana Onesmo, kwa kuwa yeye ni binadamu na alistahili kuishi kama wengine. Ni kweli pia kuwa huyu kijana alikuwa mfanyakazi wa huyu mama kabla ya kuacha kazi. Kama alikuwa anamdai huyu mama mshahara, wao wenyewe ndio wanaojua ukweli wa jambo hili mimi siwezi kubisha. Lakini, ukweli ni kwamba siku ya tukio kijana Onesmo alikwenda nyumbani kwa huyu mama kwa nia mbaya ndiyo maana alikuwa amebeba silaha (kisu). Alipofanikiwa kuingia ndani, alianza kumshambulia huyu mama na katika kujihami baada ya kuzidiwa, Mama wa watu alipiga kelele za mwizi. Kama mnavyojua Tanzania sheria ziko mikononi mwa Raia, hivyo walijitokeza na kumpiga kijana wa watu mpaka akafa. Ieleweke kuwa, kama huyu mama hakupata msaada wa raia basi angeuwawa yeye na huyo kijana.
Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema peponi.

acha kutetea maovu....acha kushuhudia uongo... tena nakwambia siku siyo si nyingi yatakupata hunijui nami sikujui ila nimesema kutoka moyoni kwa vile unaonekana kusema uongo wakati majirani wanajua ukweli ni kama ulivyosemwa na mtoa mada, hajakosea wala kuongeza chumvi...wenye nazo wamekuwa miungu watu, noti zinaongea, hata mimi nimeshuhudia jirani yangu akimbambika ng,ombe boy wake kesi ya kubaka binti yake baada ya kudaiwa mshahara wa miaka mitatu....niliumia sanaaaa...nilisimamia suala lile kiume mpaka leo hatuangaliani na yule jirani yangu kwa vile amaeshajua mimi ni simba mtu hana hamu akiniona lazima abadili njia. nakusihi sana kaka mtoa mada simamia haki ya marehemu onesmo mapka kieleweke...rip onesmo.
 
Back
Top Bottom