Matokeo kidato cha sita 2012 yametoka

Kijana wangu kapata: Div 11 ..AGGT 12,

Gen/Studies - S, History-D, Geography-C, Kiswahili- E, Naomba ushauri huyu anafaa kuomba fani/chuo kipi?

Fanya faster uombe vyuo vikuu vya kata, kwa kuwa chuo kama UDSM hana sifa pale ni vichwa tu.

Mpeleke akasomeee ualimu , BA education (Geograph and History) anafaa.
 
Kijana wangu kapata: Div 11 ..AGGT 12,

Gen/Studies - S, History-D, Geography-C, Kiswahili- E, Naomba ushauri huyu anafaa kuomba fani/chuo kipi?

Mpe hongera zake sana kwa kweli amefanyakazi nzuri sana!Aombe fani yeyote ya Arts(I mean BA) lakini aepuke fani zinazowaniwa na wengi kama sheria na utawala!Kwa digrii kama ya ualimu huyo hana tatizo atapata moja kwa moja bila kikwazo!!Mshauri apate admission kwanza ya chuo kwa kozi yeyote then baadae aombe kuhamia kozi anayoipenda akiwa tayari ameshadahiliwa chuo husika!!
 
Kijana wangu kapata: Div 11 ..AGGT 12,

Gen/Studies - S, History-D, Geography-C, Kiswahili- E, Naomba ushauri huyu anafaa kuomba fani/chuo kipi?
....Kutokana na grade aliopata kwanza anaweza fanya utafiti akienda katika vyuo anavyotaka kuomba anaweza pata cut-off points za course mbalimbali ambazo anaweza kuchukua then kutokana na hizo cut-off points anaweza jua program gani akichukua anaweza kupata
 
wanajamii msaada kwenu KIJANA WANGU KAPATA DIV 111PTS 15 YENYE ALAMA HIZI CHEM E,BIOS S,GEOG D,G/S S NA BAM S ....MSAADA ,JE ATAPATA CHUO?
 
Mpe hongera zake sana kwa kweli amefanyakazi nzuri sana!Aombe fani yeyote ya Arts(I mean BA) lakini aepuke fani zinazowaniwa na wengi kama sheria na utawala!Kwa digrii kama ya ualimu huyo hana tatizo atapata moja kwa moja bila kikwazo!!Mshauri apate admission kwanza ya chuo kwa kozi yeyote then baadae aombe kuhamia kozi anayoipenda akiwa tayari ameshadahiliwa chuo husika!!

Nashukuru kwa maujanja uliyonimwagia, nasema tena asante
 
Msaada wenu
nina point 13 dv 3
hist D
geor D
ecön E
g.s S
bam S
je naweza pata chuo?
 
Back
Top Bottom