Recent content by Kingwest93

  1. Kingwest93

    Wakurugenzi na Maafisa 6 wa AICC wasimamishwa kazi kwa ubadhirifu

    marehemu wanapumzishwa,, wezi nao wanapuzishwa mapumziko yaendelee serikali ya mapumziko tu wezi watazidi kuongezeka.
  2. Kingwest93

    TFF wasaidieni Yanga Afrika huko FIFA kama halikuwa goli kwanini refa hakuwapa Yanga kona wakati mpira ulitolewa nje kwa kichwa na beki wao?

    Binafsi mi ni timu simba ila yanga walinyimwa goli kabisa najaribu kujiuliza kama VAR room waliweza kumuita refa alipotoa kadi ya njano kwa lomalisa ikiwa lengo lao ajihakikishie mwenyewe ni sahihi kutoa ya njano? Ikiwa wachezaji wa mamelod walikuwa wamekubali na mchezo ukiendelea je VAR...
  3. Kingwest93

    Rapa Kanye West Kushitakiwa kwa Unyanyasaji na Mfanyakazi wake wa zamani

    Kitu kingine hawa mastar weusi wanaokabiliwa na hizi kesi wengi wanapesa nyingi ila wanaishi maisha ya kihuni yani hawana ndoa hata heshima zao ndogo likija swala la kesi kama hizi R Kelly hana mke, Puff Daddy hana mke, Kanye west hana mke, so wanaonekana wazi wanatumia pesa vibaya tofaouti na...
  4. Kingwest93

    Rapa Kanye West Kushitakiwa kwa Unyanyasaji na Mfanyakazi wake wa zamani

    Hii ni vita ya mastar weusi imeibuka tena wale wakongwe waliotengeneza pesa nyingi miaka ya zamani na ndio wanatizamiwa kuishi maisha mazuri kuliko wasanii wa sasa na ikumbukwe marekani haijawahi kumthamini star mweusi toka enzi za kina 2pac huwa inawatumia tu kiburudani ukiangalia R Kelly...
  5. Kingwest93

    Rapa Kanye West Kushitakiwa kwa Unyanyasaji na Mfanyakazi wake wa zamani

    Shida mtu akiwa mkweli faster kwenye jambo ndivyo mtu mjinga huwa huwa faster pia kuhisi ujinga" mfano: mkeo akiwa faster kukwambia fulani kanitongoza mjinga ndivyo utawahi kusema kagongwa ndio maana huwa hawasemi wanasema kwa mwenye akili na sio kwa wajinga. Fuatilia vizuri hyo exclusive kuna...
  6. Kingwest93

    Kuna kitu gani ambacho mtu wako wa karibu anakifanya hukipendi lakini unashindwa kumwambia?

    Mpenzi anaependa kula bata harafu marafiki zake wengi wanaume na tabia bar kama mnavyojua aisee presha sana!!!
  7. Kingwest93

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Unamaanisha nini sasa kwani wanyonge au wasio na kiburi unamanisha hawezi kufa? Au wewe una mkataba na kifo Zungumzia kifo na sio kuzungumza kama kashfa..
  8. Kingwest93

    Bunge la Marekani lapitisha Muswada wa Sheria ya kuifungia TikTok

    Mwendawazimu mwingne tena huyu hapa haya marekani si ndio? Weka bando ujifunze tena kusoma soma kondoo wewe
  9. Kingwest93

    Bunge la Marekani lapitisha Muswada wa Sheria ya kuifungia TikTok

    Hakuna unachojua mbuzi wewe tiktok ni mtandao wa nchi gani? Na unajua kwanini mbaya wanazifuta? Toa maelezo msingi kwanza sio kuvamia vamia watu rudi shule kwanza.
  10. Kingwest93

    Naomba ushauri: Nafanya biashara lakini sina amani ndani yangu. Natamani kwenda mbali lakini sijui naenda kuanzia wapi

    Haya maswali nilikuwa nayawaza ila nashukuru mkuu umenisaidia kuuliza labda hiyo biashara ya mkopo au kuna jambo baya amefanya anashindwa kuwa wazi haya maelezo yake na matokeo yanayompata bado hayaendani there something behind...
  11. Kingwest93

    Bunge la Marekani lapitisha Muswada wa Sheria ya kuifungia TikTok

    chuki tu ya kiuchumi hawa marekani hawajawahi kusupport mafanikio ya yanayohusiana na china zaidi ya kuwaletea vikwazo kwa kila jambo.
  12. Kingwest93

    Hali ya Rushwa ya Ngono Nchini

    Kwani wewe unajua nini kuhusu rushwa ya ngono au unafuata tu mkumbo haya unawezaje kuizuia toa vielelezo msiingilie faragha za watu
  13. Kingwest93

    Hali ya Rushwa ya Ngono Nchini

    Ukimtaka bila chochote atataka chochote,, na ukiwa na chochote atafanya lolote,, tatizo nini hapo sawa sawa tu toa ili upate huwezi kutoa vigumu kupata.
  14. Kingwest93

    Ufaransa kuwasilisha Bungeni Muswada wa Sheria ya Kusaida Mtu Kufa

    Nyie ndio mnakufaga kijinga jinga tu kwa kutegemea jina la yesu badala ya kwenda kwenye matibabu sahihi.
Back
Top Bottom