Recent content by KINGWALANGWANDA

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake kwanini wakatili hivi kwenye mapenzi?

    We wa wapi? hiyo m4 ya bongo au zimbabwe? acha hadithi za kitoto, unajifanyia promo kiaina sio!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ajiuzulu nafasi ya Naibu Katibu Mkuu CCM

    Wanasiasa wa tanzania wanafanya yote hayo kwa kujua watanzania ni kama mandondocha au misukule tu, yaani hawajitambui, hawajui, hawaoni wala hawakumbuki chochote. Wanaweza kufanya vyovyote mwisho wa siku pilau tshrit na kofia zinawafanya watanzania wasahau yote .Hapo ndo utajua umasiki wa mawazo...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa zaidi ya Sh. bilioni 600, Watanzania tupo kimya tu?

    Akili za watanzania zimeishia kwenye kula tu. Likija suala la migomo au maandamano utasikia nikigoma au nikiandamana watoto zangu watakula nini? Yaani ni wabinafsi kupita kiasi, mtu akishakuwa na uhakika wa kula na kubadilisha mboga tu basi ndio kamaliza. Hii amani inayohubiriwa hapa nchini si...
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu huyu ananitega au mawazo yangu tu?

    Mkuu baadhi ya wanawake hasa wa mijini ndio zao hizo kashaona kuna fursa hapo. We kama mzigo unalipa kula tu. Ila kula demu ambaye uko karibu naye saana nako kuna matatizo yake
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa madereva unachochewa na UKAWA

    Huyo ndio waziri na huo ndio uwezo wake wa kufikiri na ni waziri huyuhuyu alishasema kuwa suala la madereva kusoma wakati wa kurenew leseni si la serikali bali yule kiongozi wa NIT alilitoa tu mwenyewe.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Tunapinga mapinduzi

    Hawa wakoloni weusi wajiona kama miungu vile. mara mia 8 nchi hizi zingeendelea kutawaliwa tu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hata wenye Range Rover huvitamani vi Baby Walker

    Kuwa na rangerover na kutamani kama vits ni sawa tu, kwa kuwa kila gari lina matumizi yake kutokana na mazingira si kwamba utalitumia rangerover kila safari na kila siku. Na utakuwa mtu wa ajabu sana umiliki range halafu usiwe hata na gari nyingine hata ya kawaida tu.Tofauti nj mke ukiwa na mke...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hata wenye Range Rover huvitamani vi Baby Walker

    Kuwa na rangerover na kutamani kama vits ni sawa tu, kwa kuwa kila gari lina matumizi yake kutokana na mazingira si kwamba utalitumia rangerover kila safari na kila siku. Na utakuwa mtu wa ajabu sana umiliki range halafu usiwe hata na gari nyingine hata ya kawaida tu.Tofauti nj mke ukiwa na mke...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hili gari BMW 7 limerogwa?

    Mbaya zaidi anafikiria mafuta kwenye magari ya thamani kama hayo. Ajabu sana uwe na gari la thamani kubwa halafu ufikirie ulaji wa mafuta
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani shemeji mchepuko ananiwazisha

    Ukikua utaacha. Kwani umeshatia wanawake wangapi na umeshawaambia waume zao? Au unataka jamaa amuache ili umrudie
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amepata stroke baada ya kunifuma na mke wake roho inaniuma sana

    Kama unataka mkewe pia apate stroke basi mwambie.
  12. K

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Mgomo wa Madereva - Maeneo mengi nchini usafiri ni shida! Mei 04, 2015

    Inabidi ujishangae wewe kwanza kwa nini hujajua kwa nini serikali inahusika hapo na ccm ina uhusiano gani na serikali. Baada ya hapo utajua hii coment yako uliitoa ukiwa unkitambua au vp?
  13. K

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Mgomo wa Madereva - Maeneo mengi nchini usafiri ni shida! Mei 04, 2015

    Ccm ilishaonekana haifai muda mrefu tu. Na kuhusisha migomo na ccm kwa kuwa ndicho chama kinachounda serikali. Sasa kama serikali legelege kwa nini ccm isihusishwe. Au kwa ufahamu wako serikali na ccm ni vitu tofauti? Wewe wa wapi?
  14. K

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Mgomo wa Madereva - Maeneo mengi nchini usafiri ni shida! Mei 04, 2015

    Mkuu hawa intarahamwe wanatawala nchi hii kawa vile hawako tanzania, mgomo ulishatangazwa muda mrefu lakini hakuna hatua zilizochukuliwa mpaka haya yanatokea. Serikali imekuwa inafanya mambo kama vile inzima moto. Haya sasa waziri Kabaka na kamanda Kova njooni muendeleze wa sinema yenu
  15. K

    JamiiForums Tanzania Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

    Hii michezo ambayo watu wakae ndio ndio waamue nani mshindi ndio shida yake hii.
Back
Top Bottom