ukweli ni kuwa mie nina inferiority complex sababu back in days nlikuwa mchafu n sura hailipi so sikuweza kupata mahusiano. nmepata mpunga kwa kupipga michongo kitaa nkaanza kupendeza kwa kuvaa nguo za gharama n mtyz kibao. so nkipata mschana nawkuwa insecure na hivyo natumia pesa sana kumjali n inakula kwangu kama hivi
Mwànafunzi gani utumie milioni 4 akunyime papuchu Kwa hali hii boom aliwatoshi si ndo ingekuwa silaha Yake ya kukuua uonge nyingi