Kikwete: Tunapinga mapinduzi

Kikwete: Tunapinga mapinduzi

attachment.php


EXACTLY!
 
Nyie mmesahau aliposafishwa rais wa kenya mwai kibaki kwa kuchakachua na kujiapisha usiku harakaharaka ati rais wetu akaenda kusuluhisha mgogoro kati ya washindi na raila odinga...ulipotulia mkuu akapewa u Dr ...mahakama ya kimataifa the hague ilipokua inamtaka uhuru kenyata imhukumu viongozi wetu hawa walihangaika sana kumsafisha..hadi uhuru ikabidi awadhibiti mashahidi wote hawakutokea tena mashahidi wakapotea kesi kwake ikaisha...so viongozi wetu wengi wao wanaangalia upande wao na wanajilinda wao tu!burundi watu wameteseka sana maisha magumu mno na hilo likifikia huwezi kupinga mwisho ndio kama huo si ajabu hata kwetu yakatokea shida zitapotufika shingoni
 
Nkurunzinza alivunja Katiba ya Burundi na Makubaliano ya Arusha ambayo ndiyo yaliweka ukomo wa uongozi.

Nkurunzinza amesababisha mauaji ya warundi 20 kwa kulazimisha agombee.

Nkurunzinza amejificha jijini Dar es Salaam akila kodi zetu watanzania.

Nkurunzinza apelekwe Mahakama ya Kimataifa ya ICC.
 
Sijaona tofauti ya Raisi Nkurunzinza na yule Dj mhuni wa Billicanas. Wote ni wanajisi katiba, mbona tunamshambulia mmoja tu??

kama unaona DJ wako amenajisi si umsafishe.. mbona unalialia tuuu kama unataka kujifungua mapacha
 
Mnaounga mkono Military coup ya Burundi, mnatumia mawazo mafupi sana kutafakari hali iliyopo. Sasa Nkurunzinza amepewa audacity ya ku-supress katiba kwa kuiweka Burundi, kwenye military rule, kama atafanikiwa kurudi madarakani. Na kama akishindwa kurudi madarakani, mtegemee Kagame kuendelea kuua wapinzani kwa pre-text ya ku-plot kumpindua. Mpinzani katika karne ya 21 hutakiwi kutumia njia za kijima kama wanayotaka kutumia wanajeshi wa burundi walioasi. Mara nyingi hawa majenerali wanaopindua viongozi waliochaguliwa kikatiba huishia kuwa madikteta kuliko waliowapindua.mifano hai afrika imejaa tele.

Napata aibu kuwa afrika miaka zaidi ya 60 tangia tuanze kupjitawala wenyewe bado tunaishi kikarne ya 19. Nkuruzinza,alitaka kujiongezea madaraka kwa kutumia kalamu,wapinzani nao walitakiwa ku-mobilize kalamu zao na ku-fight back. sasa muda si mrefu huyu Nkurunzinza na ushenzi wake wote wa uroho wa madaraka ataanza kupata public sympathy kwa kufanya crackdowns pindi akirudi Burundi. Uhuru wa vyombo vya habari Burundi nao ndio bye bye.maana wameshaanza kupiga mabomu vituo vya private pamoja na kuviondoa hewani vilivyobakia.

I do not see this situation as a win-win.

Between, EAC policy yao inasemaje kuhusu coup presidents? will they work with eth new general should Nkurunzinza lose power for good?
 
Warundi ni wajinga, wanashabikia vitu vya ajabu. Piere kikatiba hakuwa rais wa wananchi ktk mhula wa kwanza, alikuwa rais wa mpito. Tatizo kuna watu tu wanapenda vita

hata kama ameongoza awamu moja akiwa raisi wa wananchi, alistahili kutambua kuwa wananchi wanahitaji mabadiliko ya uongozi na yeye wamemchoka. na ili kuzuia vita na athari zake hasa vifo, mateso hasa kwa wazee, wamama, watoto, walemavu na wajawazito alitakiwa ang'atuke. Kung'atuka kungemjengea heshima sana. Lakn sasa naona amechafua hali ya hewa na Burundi haitakalika kabisa
 
Nyie wajinga acheni upuuzi wenu, mama zenu wanamakosa gani hadi kuwaingiza jf? Kuweni na adadbu kwa mama zenu. Pumbafffff. sa.na.

Jamaa hawa huwa wananiudhi sana. kumfanyia mzaha mama yeyote ni laana ya kujitakia jamani, halafu oooh sifanikiwi... nimerogwa... kumbe upuuzi wako, aagh..
 
CCM wakiamua tutafika hapo, la waheshim katiba na sheria......
 
Hawa wakoloni weusi wajiona kama miungu vile. mara mia 8 nchi hizi zingeendelea kutawaliwa tu
 
Back
Top Bottom