Recent content by kingtuma

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tataki

    Taasisi ya taaluma za kiswahili ya udsm yazindua programu ya kamusi ya kiswahili itakayopatikana kwenye simu. Chanzo: TBC taifa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Shujaa ni nani??

    Shujaa ni yule anayeibuka na ushindi ktk pambano fulani, lakini anayediriki kushiriki pambano ni jasiri
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mgao umeisha hadi Januari - SERIKALI

    kwetu hivi sasa hakuna umeme
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kudhalilishwa: Anna Makinda kuongea na waandishi?

    Ombi langu kwa magamba hata 2015 wapendekeze mgombea mwanamke kwa nafasi ya urais
  5. K

    JamiiForums Tanzania The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Mwili wa aliyekuwa rais wa Libya kanali muamar Gadafi waanza kuharibika kwa kutotibiwa na kuhifadhiwa vizuri.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Libyan Lebels ni sawa na CHADEMA nchini, tukiwachekea watatuletea maafa!

    Wewe lazima utetee upumbavu kwa kuwa unafaidi mfumo huu wa kifisadi na hujawahi kulala njaa, kwa mlala hoi asiyejua kesho yake amani unayoihubiri ambayo hana haina maana yeyote wakati wewe na wachumia tumbo wenzako mnatuna matumbo tu.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tanesco kuandamana

    Wana jf kwa mujibu wa taarifa ya habari ITV wafanyakazi wa tanesco watangaza maandamano nchi nzima kupinga malipo ya DOWANS je ni uzalendo umefika
  8. K

    JamiiForums Tanzania Follow Me If You Can!

    Ni ujinga kusubiri maisha bora ccm wakati rais hajui kwanini wananchi wake ni maskini.... lol
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mugabe aliposikia kifo cha Gaddafi

    Let it happen vry fast so he can pave way to other african leaders like kibaki, jk n so on
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tanesco ubungo

    Wana jf nimepita tanesco makao makuu ubungo nikaona waandishi wa habari kibao sijui kuna nini anayefahamu atujuze usikute shirika linauzwa hatujui.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tanesco ubungo

    Wana jf nimepita tanesco makao makuu ubungo nikaona waandishi wa habari kibao sijui kuna nini anayefahamu atujuze usikute shirika linauzwa hatujui
  12. K

    JamiiForums Tanzania For all first years in udsm;since the berlin conference africans had never be the same.discuss

    we HAMY-D acha matusi we ulifundishwa na wazazi wako au walimu wa kawaida unakuwa kama chichidodo anachukia kinyesi anapenda mang'onyo blali shikamoo wewe
  13. K

    JamiiForums Tanzania CCM (Chama Cha mapinduzi)

    Kwa kuwatoa "wadanganyika" ktk nchi ya ujamaa na kujitegemea hadi kwenye unyama na kujimegea
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ephraim kibonde na arnod kayanda watukana waandishi wa habari live kisa Lowassa

    Kibonde ni kada mzuri wa magamba na EL ni baba yao hana jipya mi nimeacha kabisa kusikiliza kipindi chao maana hakina future bora njia panda.
Back
Top Bottom