Recent content by kingTRAVELLER

  1. kingTRAVELLER

    Nimeacha rasmi kushabikia Manchester United

    Ww ulikua mancity sema united ulimfuataga ronaldo...nakukumbusha kidogo hao mancity hawana uefa hawana uropa ligikuu maranne!! Hawa man u ligi mara 20 uefa mara 3 na fa mara 12 internatonal trophlmara 8 FA13 i love united never separeted on me ww pambna na mAncity wako utawakataa so muda!!
  2. kingTRAVELLER

    Umewahi kumkomoa msichana wakati wa kufanya mapenzi?

    Hahahab usije ukajaribunkukutana na. Mm ambaye huwa shahawa ziko china na korea kaskazin mbona utacheza mpka mdundiko ma singeli laikn ndonkwazaa shughuli ndo inaanza
  3. kingTRAVELLER

    iPhone Users!

    Me na njia kama tatu za kukuambia lakini 1•TUMIA TUBIDY danwload iyoni rahisi zaidi2• tumia DOCUMENT ila hiyo inalong convetion sana kuieleza bt nenda kwa youtube inakua poa zaidi
  4. kingTRAVELLER

    Mrejesho: Mke mwenye wivu, nawashukuru wana JF kwa msaada wenu

    Ila mdogo wang ukweli ni huu mwanamke wa hvyo si mara ya kwanza mpka kaamua kuumpa jirani yako kwanza nenda kapime halafu unapofanya maamuzi usiangalie cha mtoto wala familia yake angalia kilicho sahihi kwako maana mwanamke akitoa uchi kwa mtu ambaye hampi chochote bs jua kapenda kwa dhat na...
  5. kingTRAVELLER

    KENYA: Askofu asilimu na wafuasi wake, ageuza kanisa lake kuwa msikiti

    Mwenyez mungu subuhanahuh wa taalah alimuambia Awakummbushe wafuasi wake na akumbushe umati wati na kazi ya kuongoa siyo ya kwake •bs uongofu unapomjia bianadamu huwa hakuna kitu zaidi yankuamin. Tyuu
  6. kingTRAVELLER

    DAR: RC Makonda asema kibali cha kupiga muziki mwisho saa 6 usiku, Ruge azungumza

    Bora ya sisi tuko pwani bhana nyie wa dar mwisho saa 6 hii ndo bongo tuyoish kila siku
  7. kingTRAVELLER

    Dkt. Louis Shika: Undercover informer aliyenusurika kifo ughaibuni?

    Mm ambacho nimekuelew kwamba kina vitu ving anaficha huyu dr bt hawa watangazaj wetyu hakuna kitu hawawez hata kuuliza maswali ya kumspy mtu kabisa maswali ya mitego hawawez kumuuliza bs huyu DR SHIKA katushika hapa bongo jaman ila ukweli yeye ni jasusi kiukweli
  8. kingTRAVELLER

    Mke wangu anataka tuachane kisa kila siku namuomba game

    Kwakua umemshinda nguvu inabidi ww uoe mke wa pili nathani itakua poa
  9. kingTRAVELLER

    Mke wangu anataka tuachane kisa kila siku namuomba game

    Me naona kwakua hawez kuvumilia
  10. kingTRAVELLER

    Tomas Ulimwengu aondoka Sweden na kutua Genk, aanza kujifua

    JamAa naona anpenda kutembelea nyota ya samatta nafikirbkama samata asingekuepo katika maisha ya tom saiv hata mazembe asingeijua na nathani angekua kagera sukar saiv
  11. kingTRAVELLER

    Kwani hakuna uwezekano wa kufanya hivi wakitaka kujenga Fly Over?

    Kwan mm nAona bajeti ndo tatzo hapa inabidi mpunga uongezeke
  12. kingTRAVELLER

    Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

    Mkuu naona ww leo tukonpamoja sana huu uzi haumeck cense kabsa!!! Haya madunya hata mm siwez kuyala!!!
  13. kingTRAVELLER

    Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

    Dr shika spy halafu mpaka sasa urusi wawe wamemuacha huru mbona mbona kama ni magushi haya hv ushawahi kufikiri spy when wanamkamata halafu anapotea mbona hata akili ya kitoto kufikiria haiji kichwani sory [emoji120][emoji120][emoji120] kuwa serous bs na huonuzi wako japo tupe uongo wenye...
Back
Top Bottom